SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,088
- 75,524
Wasiofuta matokeo hawaugui?
Hawafi?
Nani kasema ni mgonjwa? Nani kasema amekufa?
Wasiofuta matokeo hawaugui?
Hawafi?
Ndo nami nawashangaa hawa waleta mada wanaotaka kuonyesha JK kapata madhila ya aina flani kwa sababu zisizo na msingi.Nani kasema ni mgonjwa? Nani kasema amekufa?
Kwani Lowasa wakati anagombea urais alikua anagombea na Kikwete au Magufuli?
Kwanini msimpambanishe Lowasa na Magufuli wakati ndio hasimu wake?
Huyo amekaa ikulu na ameiibia nchi vya kutosha ....na ni fisadi na kubwa la mafisadi na mfadhili wa mafisadi...lazima tumuandame vizuri tu hadi last point.Narudia tena kiu ya Kikwete ameshaikata miaka 10 ndani ya Ikulu,
Sasa ongeeni na huyo fisadi wenu je Ikulu 2020 atainusa?
Muacheni Mzee Kikwete apumzike, kumsema sema haiwasaidii kitu, pambaneni na aliyepo kama nyie mnajua sana kupambana.
Mbona unakuwa na tabia za Trump wewe? Lini ulianza kuwakilisha wenzako? Eti sisi?! Ona aibu na koma kujibebesha busara za watu ili zionekane zako. Semea nafsi yako na acha kujifanya msemaji wa wengine kwani hakuna aliyekutuma. Au ndio mwanzo wa wa-lumumba st kuanza kuishiwa hoja? Ohooooh!! Kumbe mkulu kapiga jiwe mzingani!? Na nyuki mnahangaika kurudi mzingani! Mbona ile ...... Ya mafisadi inaanzia kwenu, imegeuka? Hahahaaàh! Kila mchimba kisima ...........!Acha ujinga wewe. Lowassa ni Rais wa Taifa gani? Unaweza kukamatwa kwa uhaini wewe! Sisi tulimkataa, tumemkataa na tutamkataa. Urais atausoma kwenye magazeti tu period!
si mlisema ana hela,kila ghorofa mjini la kwake,kila kampuni ya mafuta,lake oil,oilcom,total,agip,kila hotel kali yake,ana mabilion na mabilioni,sasa mawazo yatatoka wapi bana,,?,ahangaike kupiga ama kupokea simu za kazi gani mpaka apate mawazo?,Mawazo na kujua ukweli. Kuna aliodhani ameshibana nao akawamwagia mifursa, sasa hata Simu zinagomba. Wabongo wee acha tu. Mungu ampe wepesi Kikwete
possibility ya wewe kufa ukamwacha kikwete ni kubwa mnooo,Hakutakiwa kupambanishwa kwa ku attack afya yake....Mwenye kujalia afya na uhai ni mwenyezi Mungu...na Mungu huwa hadhihakiwi.....Mlimdhihaki sana yule Mzee ...cha ajabu Mungu anazidi kumbariki anazidi kupendeza tu siku hizi.
Huyo amekaa ikulu na ameiibia nchi vya kutosha ....na ni fisadi na kubwa la mafisadi na mfadhili wa mafisadi...lazima tumuandame vizuri tu hadi last point.
Teacher..Lowas is super happy....Kwa taarifa yako Lowasa hatagombea 2020....he is happy kuwa na Amani na haishi na wanafiki kwa sasa...about ufisadi wake....Hizo ni porojo zenu tu....Kukupa tu clue..kwa nchi za afrika kama una doa la wizi au ufisadi huwezi kuthubutu kuhamia upinzani...coz the moment you do that its your end...hadi leo mmeshindwa kumpeleka "Fisadi Lowasa" mahakamani
Eti aachwe...sisi hatuwezi kumfanya kitu tunamwachia Mungu amkongoroe hadi akome...hadi awe skeleton...Mungu hadhihakiwi bana.
hahahahahhaa......kwani mimi nimesema sitakufapossibility ya wewe kufa ukamwacha kikwete ni kubwa mnooo,
eti mungu wa longido sijui monduli hazihakiwa,huyo mungu wako mbona amekaa kama ndondocha vile,au huwa mnamshindilia masindano ya kumpa kick nini?
Ebu cheki afya ya lowasa alafu linganisha na Kikwetewalisema lowassa ni mgonjwa sasa ngoja tuone mwisho wa hii sinema kwenda nje ya nchi kila siku tutajua tu nani ni mgonjwa.
swissme
Bashashaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] kubali tu mzee wetu kachoka,rejea ile ya mkutano mkuuPicha ya juu siyo halisi ya kikwete, hata kama ni halisi lkn haimwoneshi vizuri. Jakaya bado ni mtu mwenye bashasha zake.
KUTOKA KWENYE KUTAWALA ADI KUTAWALIWA SIO MCHEZO NDUGU YANGU LAZIMA UKONDE.
Kikwete bado yupo gado sana.mnamuombea mabaya lakini mwenzenu yanazidi kumnyookea. Hiyo picha imetengenezwa.
1:udawalisema lowassa ni mgonjwa sasa ngoja tuone mwisho wa hii sinema kwenda nje ya nchi kila siku tutajua tu nani ni mgonjwa.
swissme