Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Mbona mh. Mkapa anazeeka lakini anan'gara vizuuuri, mheshimiwa Rais wa wananchi LOWASSA alisema acha MUNGU ahukumu mwenyewe
 
Mbona mh. Mkapa anazeeka lakini anan'gara vizuuuri, mheshimiwa Rais wa wananchi LOWASSA alisema acha MUNGU ahukumu mwenyewe
Mkapa na JK wakisimama unaweza fikiri JK ni Mkubwa kwa Mkapa!!!
 
walisema lowassa ni mgonjwa sasa ngoja tuone mwisho wa hii sinema kwenda nje ya nchi kila siku tutajua tu nani ni mgonjwa.


swissme
Aisee Wewe basi tu,Wanasema umdhaniaye ndiye kumbe siye, (Vice versa) Mungu huyu!!!!!! Tunaomba tu Mungu awape Uzima Viongozi wetu wote hatu wabagui tuna kumbushana tu kwamba laana huwa ina desturi mbaya ya kupiga U-turn.
 
tusubiri alimuita lowassa mgonjwa kunbe yeye ni mzima.zile mambo ya kushafisha damu tu.

swissme
Wallah simuombei kifo ila akifika siku kama ya Leo mwakani atabakia mifupa na ngozi tu,yeye syo Dr ila alijitoa ufahama kumsema fisadi mwenzake kuwa ni mgonjwa,nasema fisadi mwenzake kwa maana ndivyo alivyoliasisi huyu jk kwa kipenzi edo
 
Ukitaka kujua uzee wa mtu subiri astaafu!!

Utajiuliza hivi yule mtu ndo huyu??
Mi nikidhani ukishatua mzigo mkubwa kama ule ndio una pumzika na kunawiri kama ilivyokuwa Mwalimu mara baada ya kustaafu(kwa wanao kumbuka) na hata mzee Mwinyi na Mzee Mkapa,anyway ni mambo ya Mungu na Waja wake tuwatakie Afya njema.
 
dr jakaya kikwete yuko safi sana... hiyo picha ilipigwa huku mpiga picha akiwa anayumbayumba ...... mtoa post hizo ni akili ndogo sana kwa unayoyafanya
 
sy2.jpg Kikwete Muda si mrefu atafanana na Mrema.
 
Back
Top Bottom