amekuwa mzee kuliko wazee waliomtangulia?Mnatakiwa kufahamu kuwa JK ni mtu mzima sasa, wala msitarajie ataendelea kuwa kama alivyokuwa. Ukiwa Rais kuna watu wengi wa kukuangalia, hata kuhakikisha kuwa unapotoka kwa umma una mwonekano mzuri. Sasa JK yupo kama JK, hakuna artificial appearance.
Anateswa na dhambi ya kumkata Lowassa na aliyemtaka hakupita ndo maana mnamuona hivyo.Wana ukumbi salaam.
Kwa muda sasa tangu aondoke madarakani JK aliyesema sasa anakwenda lala usingizi mtamu anaonekana kudhoofu kuliko kawaida.
Nimemuona kikwete Mara nyingi sasa akiwa anaendelea kudhoofu kadiri siku zinavyosonga....
Mungu ampe afya njema Kikwete wetu maana anatia huruma sana!!!
View attachment 381431
Acha ujinga wewe. Lowassa ni Rais wa Taifa gani? Unaweza kukamatwa kwa uhaini wewe! Sisi tulimkataa, tumemkataa na tutamkataa. Urais atausoma kwenye magazeti tu period!
Ni kweli Rais Mstaafu Kikwete amekonda kwasasa.
Sijui sababu ni ipi.
Mbona Mkapa hajachakaa?
Kwahiyo wataka sema nini kwa JK ambaye ameondoka si zaidi ya mwaka amechakaa, Mkapa 10 years out hajachakaa?Nani kakwambia watu wote wanachakaa namna moja?,kila mtu na mwili wake, ustahmilivu wake hutokana na vigezo(factor) mbalimbali za kimaisha kama mazoezi , lishe mazingira na aina ya shughuli aifanyayo mtu siku hadi siku
Kwahiyo wataka sema nini kwa JK ambaye ameondoka si zaidi ya mwaka amechakaa, Mkapa 10 years out hajachakaa?
JK kachoka mapema mno.Hakuna kusema zaidi ya kutambua kwamba kila mtu anachakaa kwa kasi ya kipekee, wengine kasi zaidi wengine kasi ndogo, hayo ni majaaliwa ya muumba, pia unachokiona kuchakaa nje si lazima kimechakaa ndani pia nakilichokizima nje basi kikawa kizima ndani pia na kinyume chake.
Hakuna haja ya kuphotoshop reality.....mzee amepunguaAngalia video wakati akifungua mkutano Dodoma kisha angalia na picha hiyo!!
Hiyo picha imerushwa na vyombo vya habari huko Zambia so hawana sababu ya kuifanyia Photoshop!!