Heron
JF-Expert Member
- Oct 4, 2013
- 1,946
- 1,804
Kuna tofauti kati ya kumuomba na kumuombea, kumuomba marehemu haifai na anaepaswa kuombwa ni Mungu peke yake,ila marehem waweza kumuombea, na hata mimi kwa kuwa bado nina mapenzi na Marehem Babangu basi huwa nikimuombea kila siku,
kwani huenda kupitia maombi yangu akapata nafuu ya adhabu kama yupo ktk hali hiyo,kwani Mungu hupenda kuwaona waja wake wakimuomba
kwani huenda kupitia maombi yangu akapata nafuu ya adhabu kama yupo ktk hali hiyo,kwani Mungu hupenda kuwaona waja wake wakimuomba