Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
- Thread starter
- #121
Bado hujui Imani ni nini...
Imani ipo batili kama yako wewe unavyoamini kwamba marehemu anasikia na anaweza kunywa supu.
Bado hujui Imani ni nini...
Kwani kumuombea mfu ni kumwabudu?
Wana JF.Hili swala la kumwabudu marehemu au kumwombea wakati yeye kashakufa na hana ufahamu wowote kweli ni jambo jema? Maiti haijui wala haisikii nijuavyo mimi sijui wenzangu mnajuaje? Maiti haina thamani yoyote hata fungu la mchicha la mia mbili inaizidi thamani nijuavyo mimi.Naombeni na nyie mawazo yenu kuhusu hili watu wa jf.
Tatizo kubwa liko kwa imani zetu au ndani ya makanisa yetu. Tulifundishwa hadithi zaidi badala ya maandiko. Tulishaacha maandiko mbali sana tunaelea gizani

Nambea ufiwe halafu uje hapa JF ujibu swali lako, au ufe mwenyewe pichu yako Na mjadala utajifunga!
Wewe kweli kichwa kopo roho imeenda kwa mwenyewe mwili umerudi kuwa udongo wa kutengenezea vyungu.Sasa hapo unaombea nini? Basi usipate tabu kesho nenda kariakoo ukaombee vyungu vya udongo.
Wamakabayo ndio kitabu gani hicho? Nahisi kitakuwa kimetoka kwa baba mtakafujo ila sio muumba.
Imani ipo batili kama yako wewe unavyoamini kwamba marehemu anasikia na anaweza kunywa supu.
Tatizo kubwa liko kwa imani zetu au ndani ya makanisa yetu. Tulifundishwa hadithi zaidi badala ya maandiko. Tulishaacha maandiko mbali sana tunaelea gizani
Natumaini utaanza wewe kisha mimi niko nyuma yako.
Ninapo maanisha kuabudu ni kwa mfano mtu anamwomba marehemu amletee mvua wakati hasikii wala hajui.Unawmombea marehemu asamehewe wakati marehemu mwenyewe hajijui na wala hajitambui.
Kumbukumbu ya aliekuwa binadamu kumwona katika picha sio kumwabidu mkuu.Mtu anamwomba marehemu eti amwombee kwa Mungu wakati marehemu mwenyewe hasikii na wala hajijui hiyo ni akili kweli mkuu? Ni sawa na kuimbia jiwe ikuombee kwa Mungu.
Anhaa, ndo nikakuuliza mtu akifa unajuaje kafa? je unaamini juu ya uchawi na watu kupotea kwa miujiza? au watu kugeuzwa misukule? je huoni hao bado ni wazima sema wamefichwa kimazingara?
kwaleo ninahayo tuNdugu ibada ya wafu haikubaliki kwasababu mtu akiisha kufa kifuatacho ni hukumu tu hata mkeshe na jeneza lenu mkiomba haimuongezei hata tone,someni biblia na kuielewa.
Ndugu ibada ya wafu haikubaliki kwasababu mtu akiisha kufa kifuatacho ni hukumu tu hata mkeshe na Jerez's letu mkiomba haimuongezei hata tone,someni biblia na kuielewa.
kwaleo ninahayo tu