KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
Exxezez
Mitume ilikuja tuNaona mnakimbia kujibu swali langu haya wacha niwaongezea swali lingine. Wakristo hawamjui Yesu nani katika wakristo anamjua Yesu, kama wanamjua basi wasinge kuwa wanaulizana kila siku Yesu alioa,
Yesu aliongea lugha gani, Yesu alikuwa mweusi au mweupe yani ni mengi tu. Tukiwambia nyie wakristo mnaabudu shetani, mnabisha. cc Ishmael na 2013