pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,558
- 2,932
Marehemu hawezi kuombewa akaenda mbinguni mkuu wanaofanya hivyo ni wasanii flani wazushi.
msisitizo ni kwamba rehema ya Mungu inamrudisha duniani kwa nn haiwezi kumpeleka mbinguni.
Marehemu hawezi kuombewa akaenda mbinguni mkuu wanaofanya hivyo ni wasanii flani wazushi.
Misingi ya akili timamu kwa mimi kwangu kama vile ni utahira kuabudu mzoga au kuombea mzoga.jibu vyovyote uwezavyo mkuu.
Nikimgusa hashtuki,nikimsemesha hasikii kwa maana hata hanijibu na nambeba namweka kwenye kaburi na kumfukia hapigi kelele wala kulalamika lakini mkuu wewe hapo ulipo nikija kukuchukua nikuweke kaburini utapiga mayowe hadi hadi mashuzi kwa maana unajielewa kwamba hai.
Kwa mfano kumwabudu kwamba akuombee kwa Mungu au wewe umwombee kwa Mungu au yeye akusaidie ufanikiwe kimaisha.
Kwani Ni marehemu wote wapo Chini tu.... maana Musa alikufa ndio ila Baadae akamtokea Yesu miaka ya baadae. . Si marehemu wote hawasikii...
Na unaposema Kumwabudu marehemu unaonyesha kabisa hujui hata maana ya Kuabudu... kuomba na kuabudu ni vitu viwili tofauti
msisitizo ni kwamba rehema ya Mungu inamrudisha duniani kwa nn haiwezi kumpeleka mbinguni.
Hivi unaposikia mtu anasema "Mwili wa marehemu" wewe huwa unaelewa vipi?
na wewe si uko hai nguvu unazotumia kumdumbukiza mwenzio kaburini angali hai lazima ushuzi ukutoke
Kwani Ni marehemu wote wapo Chini tu.... maana Musa alikufa ndio ila Baadae akamtokea Yesu miaka ya baadae. . Si marehemu wote hawasikii...
Na unaposema Kumwabudu marehemu unaonyesha kabisa hujui hata maana ya Kuabudu... kuomba na kuabudu ni vitu viwili tofauti
Mkuu hawa wanachagua maandiko yatakayo suit mafundisho yao.Yesu kutokewa na akina Musa kumtia moyo ni ushahidi wa uhai wa kiroho kwa watakatifu.
Vipi na wewe ulitokewa na babu yako nini ukakutia nguvu za kuvuna mpunga.
Subiri watu wenye akili kama zako waje mjadiliane..
Kumwabudu marehemu si sawa kabisa,maana wa kuabudiwa ni mungu peke yake!,lakini kumwombea marehemu hiyo ni sawa kabisa na upo ushahidi wa kibiblia unaotuthibitishia hilo.kama utahitaji nitoe mada hiyo kuhusiana na umuhimu na uhalali wa kuombea marehemu mimi nipo tayari.
Wewe sema tu nije niilete mada ya kuombea marehemu,ktk misingi ya biblia,kutoa ushahidi sawa lakini kwa kuwa lengo ni kueleweshana na kuwekana sawa,basi wewe subiri muda si mrefu nitaileta mada hiyo.usiwe na wasiwasi utanielewa tu!.
Naelewa kwamba ule ni mwili wake japo hajijui na wala hajui.
Ili nikuelewe itabidi unipe na ushahidi kutoka kwa marehemu mwenyewe.Kwa maana mimi najua hasikii na wala haoni na hajui lolote.