Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
- Thread starter
- #41
Ukijua maana ya neno IMANI utakuwa umshapata jibu lako......kwani nilianza na neno......kwa watu wa IMANI..
Hata kama ni imani je ni sahihi kumwabudu marehemu au kumwombea maana marehemu hajui na hajijui kabisaa.