Ni haki kumwabudu marehemu?

Ni haki kumwabudu marehemu?

Mkuu wewe Gwajima itakuwa kakuvuruga akili na imani zake za kizushi na uongo.Eti kafichwa?

ina maana wewe huamini kama uchawi upo? mbona Bible imeyasema? ndo maana tunasali kuvunja uchawi, una ubishi wa ajabu sana, mwalimu wako alikuwa na kazi ya kukuelewesha.
 
ina maana wewe huamini kama uchawi upo? mbona Bible imeyasema? ndo maana tunasali kuvunja uchawi, una ubishi wa ajabu sana, mwalimu wako alikuwa na kazi ya kukuelewesha.

Shetani yupo uchawi utakosekana vipi wewe? Acheni kuwalaghai watu eti wamefichwa hawajafa.Huyo Amina chifupa mliedai kafichwa yuko wapi nyie manabii wa uongo mnaouharibu UKRISTO .

Ooh tutamrudisha amina chifupa! Mtu anatumia mazingaombwe hapo tanganyika packers mnawala wajinga na kujinunulia chopa.ngoja Yesu aje mtakamo.
 
unacho kiongelea hakitafsiriki unaposema kuabudu maiti ni kumaanisha unaiomba upo nayo hapo hapo kitu ambaccho hakipo kwa sasa labda ungesema kuabudu mizimu hapo ungeniconvice yani
 
unacho kiongelea hakitafsiriki unaposema kuabudu maiti ni kumaanisha unaiomba upo nayo hapo hapo kitu ambaccho hakipo kwa sasa labda ungesema kuabudu mizimu hapo ungeniconvice yani

wewe huelewi kabisaa.kwani mtu akifa anakuwa mzimu?
 
Kwa mfano kumwabudu kwamba akuombee kwa Mungu au wewe umwombee kwa Mungu au yeye akusaidie ufanikiwe kimaisha.

Ukiskia shirki ndo hii Mungu hana mshirika hivo bas unapochukua jukumu la kuomba marehem akuombee hiyo ni dhambi nachojua mim kinachofanyika kwa marehem nkumuombea tu
nduki Zamiluni Zamiluni
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,

Hili suala limeshajadiliwa sana humu jamvini. Fuatilia thread zihusuzo jambo hili kwa ufahamu zaidi.

Tafakari. Albosignathus
 
Last edited by a moderator:
Ukiskia shirki ndo hii Mungu hana mshirika hivo bas unapochukua jukumu la kuomba marehem akuombee hiyo ni dhambi nachojua mim kinachofanyika kwa marehem nkumuombea tu
nduki Zamiluni Zamiluni

Albosignathus Marehem haabudiwi anayepaswa kuabudiwa kwa HAKI NI MWENYEZI MUNGU TU.

Yeye Marehem atakuombea vipi mkuu mtu akifa anakuwa na uwezo wa kuomba kweli ndugu yangu...?.

Wewe ndio yapaswa umuombee coz mwenzako yupo kwenye ADHABU sasa akuombee wewe wakati yake tu ni mazito na hana uwezo wa kumuomba MUNGU amsamehe coz hiyo nafasi alishapewa hapa duniani.

Hakuna suala la kufanikiwa kimaisha eti mpaka uombewe na Marehem kama una marehem wako fanya umuombee kwa MUNGU amsamehe kama unasubiri yeye akuombee haya subiri hivyo hivyo Albosignathus .
 
Last edited by a moderator:
nduki

Ndugu yangi Nduki ni marehemu gani alirudi akakwambia huko aliko anapata shida?? kama una ushahidi nipe ndugu na ukikosa ushahidi ujue ni uzushi.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi, umelenga penyewe haswaa. Jamaa akina Adiosamigo wa Nonda na Elungata nduguye Ally Kombo kaka ya dada FaizaFoxy hawata sogea hapa.

dogo Ishmael ;Pole sana tena sana kama unadhani waislam wanamuabudu Mtume Muhammad. Hivi dogo uliwahi kupitisha macho hapa; Yohana 17:9;
Katika Bibilia ya Yohana ananukuliwa Yesu kusema: Mimi nawaombea hao;

siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa. Kina nani hao, amewakusudia Yesu, je wewe upo katika hao? Please usikwepe ukaja na ujinga nataka jibu. cc; 2013
 
Inna lillah wainna ilayh raajuun

Huna unalojua wewe bora ukae kimya

Obviously, you can't prove your muhammadic diabolical belief. You can't even provide arguments or evidence to justify your oafish jibrilic belief.

You made my point for me.

Come back when you can be honest about your mindless bogus faith.
 

Obviously, you can't prove your muhammadic diabolical belief. You can't even provide arguments or evidence to justify your oafish jibrilic belief.

You made my point for me.

Come back when you can be honest about your mindless bogus faith.

Muhammad ni binadamu kama mimi nawewe isitoshe atahukumiwa siku ya mwisho na Yesu maana Yesu ndiye njia kweli na uzima mtu haji kwa baba bila yake tena anasema nimepewa mamlaka mbinguni na duniani wakati muhamad anasema nakokwenda sikujui
 
Kimsingi si sahihi na hata kibiblia pia c sahihi na nikosa kubwa Hakuna ibada ya wafu pia na MTU akifa ni hukumu nyinyi hata mkiomba Mara mia kwa cku haisaidia ushauri ACHENI KUTENDA MABAYA JIFUNZENI KUTENDA MENA

Umejibu vyema sana mkuu
 
Biblia inasema baada yabkufa hukumu sasa we kalia kuswaliwa sijui kuombewa ibada ya wafu haisaidii ndugu yangu dawa ni moja tu mgeukia Mungu muamini Yesu kristo
 
He is just reminding you that the god you worship is breathless.
Siku utayoziba hii pumzi inayokupa kiburi, ndio utakutana na Paulo wako huko huko.
Hapo utajua Mungu ni nani na Yesu ni nani?

Yesu alishakutahadharisha kuwa siku hiyo atakwambia:'I never knew you. Away from me, you evildoers!'
 
dogo Ishmael; I asked you a simple question, and you gave me a long answer. But you still didn't answer my question . I was wondering if Ishmael and 2013 knew what these verses (John 14:7) mean, I do not pray for the world but for those whom You have given Me, for they are Yours.


YEsu akasema... yohana 5: 39 Ninyi huyachunguza Maandiko Matakatifu mkidhani kwamba ndani yake mtapata uzima wa milele; na kumbe maandiko hayohayo yananishuhudia!:40 Hata hivyo, ninyi hamtaki kuja kwangu ili mpate uzima.......

Yohana 8: 42 Yesu akawaambia, Kama Mungu angekuwa baba yenu, mngenipenda mimi; kwa maana nalitoka kwa Mungu, nami nimekuja; wala sikuja kwa nafsi yangu, bali yeye ndiye aliyenituma.

Yesu alikasema...Yohana 8:
47 Yeye aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu; hivyo ninyi hamsikii kwa sababu ninyi si wa Mungu.

Yohana 5:
45 Msifikiri kwamba mimi nitawashtaki kwa Baba. Mose ambaye ninyi mmemtumainia ndiye atakayewashtaki.:46 Kama kweli mngemwamini Mose, mngeniamini na mimi pia; maana Mose aliandika juu yangu

Yohana 5: .:47 Lakini hamuyaamini yale aliyoandika (Moses), mtawezaje basi, kuamini maneno yangu (YESU)?"....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom