Ni haki kumwabudu marehemu?

Ni haki kumwabudu marehemu?

Kimsingi si sahihi na hata kibiblia pia c sahihi na nikosa kubwa Hakuna ibada ya wafu pia na MTU akifa ni hukumu nyinyi hata mkiomba Mara mia kwa cku haisaidia ushauri ACHENI KUTENDA MABAYA JIFUNZENI KUTENDA MENA

Kwanini Kuna ibada za mazishi?????????????
Hapo kwangu mimi naona matumizi ya lugha ndio shida. Kuna tofauti kati ya Kuabudu na kuombea.
 
Eiyer

Hivi uislam ni kudiscus ya watu?

Ikinawa au ukavua viatu vyako inakuongezea nini katika Imani na ukaribu wako na mungu? Zingatia sana hii "Usichokijua ni kwamba sisi tunasafisha ndani ya bakuli ambako ndimo chakula kinapowekwa na sio nje ya bakuli ambapo waka chakula hakiwekwi'
 
Last edited by a moderator:
Mungu amekataza kutafuta habari kwa wafu kama ilivyokatazwa watu kuuliza kwa wachawi, Jini,nabii wa uongo{ISAYA 8:19-20}
 
Kwa mujibu ya Biblia imenana kwamba "Ina thamani machoni pa Mungu; Mauti ya wacha Mungu wake{ZABURI 116:15}
Mtu si mbwa.
 
Kuwaomba wafu ni tendo la ushirikina na machukizo kwa
Mungu.Hatupaswi kuzungumza na wafu.{KUMBUKUMBU YA TORATI 18:9-11}
 
Mungu alimzika nabii Musa; akitufundisha kuzikana ni haki
yetu tangu kale {KUMBUKUMBU 34:5~6}
Ibada za mazishi halali.
 
Baada ya kifo tu,ni hukumu ya kuingia Jehanum au Peponi kama ilivyokuwa tajiri yule na Lazaro
{LUKE 16:19-26; EBR 9:27}
 
Kuabudu marehemu ni IBADA YA SANAMU;na wazifanyazo watafananazo.Hivyo tuzikimbie ibada za Sanamu zao
{1WAKORINTHO 10:14}
 
Nakuombea sana kwa mungu akusamehe na maneno yako, usije ukafa maiti yako ikaliwa na fisi porini

Je nitakuwa wa kwanza maiti yangu kupotea kwa kuliwa na fisi? Watu wameliwa na mamba,simba,kupotoea baharini itakuwa mimi? Hayo ni maisha tu wala hakuna ajabu.Mbona ndege ya malasia imepotea na watu kibao? AU ulitaka maiti uzione uziombee au uziombe?
 
Because a simple aya that denies God you comprehend not. LA ILAHA ILA ALLAH, it is clear that your diabolical and fiendish deity is God Hater just like non theists. You are God Hater too.
dogo Ishmael; You still didn't answer my question, what these verses (John 14:7) mean, I do not pray for the world but for those whom You have given me, for they are Yours.
 
dogo Ishmael; You still didn't answer my question, what these verses (John 14:7) mean, I do not pray for the world but for those whom You have given me, for they are Yours.

Mkuu hapo ili uelewe inatakiwa uwe na ROHO MTAKATIFU ALIE HAI ila sasa wewe una ROHO MTAKAFUJO aliekufa nae akazikwa na kaburi lake kujengwa na cement,

Jamaa alikuwa mkorofi sana yule kukata watu mapanga na kuwanyima wenzake kitimoto huku akila mwenyewe na wenzake kuwapa nyanya chungu na mchicha pori.
 
Mkuu hapo ili uelewe inatakiwa uwe na ROHO MTAKATIFU ALIE HAI ila sasa wewe una ROHO MTAKAFUJO aliekufa nae akazikwa na kaburi lake kujengwa na cement,jamaa alikuwa mkorofi sana yule kukata watu mapanga na kuwanyima wenzake kitimoto huku akila mwenyewe na wenzake kuwapa nyanya chungu na mchicha pori.

Naona mnakimbia kujibu swali langu haya wacha niwaongezea swali lingine. Wakristo hawamjui Yesu nani katika wakristo anamjua Yesu, kama wanamjua basi wasinge kuwa wanaulizana kila siku Yesu alioa,

Yesu aliongea lugha gani, Yesu alikuwa mweusi au mweupe yani ni mengi tu. Tukiwambia nyie wakristo mnaabudu shetani, mnabisha. cc Ishmael na 2013
 
dogo Ishmael; Christianity relies on the gory death of an innocent man. However, there was no need to sacrifice Jesus, because the people were already forgiven. Early manuscripts do not contain the passion narrative. Many early Christians did not believe in the crucifixion. In short, there is no proof.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mfano kumwabudu kwamba akuombee kwa Mungu au wewe umwombee kwa Mungu au yeye akusaidie ufanikiwe kimaisha.

Tutofautishe kati ya kuomba na kuabudu...anyway kwa imani ya RC huwa tunawaomba tunaoamini wako mbinguni kama vile watakatifu watuombee kwa Mungu kwani wanaye mbinguni na siyo kuwaabudu wenyewe kama wengine wanavyofikiria.

Pia tunawaombea wale tunaoamini wapo TOHARANI ili wapunguziwe adhabu za huko waende Mbinguni kujiungu na watakatifu walioenda Mbinguni moja kwa moja.
 
kitimotoharamu

Binadamu wewe ndio umtangaze binadamu mwenzio eti mtakatifu? Hata Yesu alikataa kuitwa mtakatifu.Hiyo ni ibada batili ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Mm navojua its ol abt imani, tunaamin Mungu yupo though hatujawai mwona, lykwise kwa mfu, tunakua hatujui akikoenda so kumwombea uyo mtu ni swala la kiiman pia
 
KikulachoChako

Hayo maisha ya mtu baada ya kifo unaweza kunipa uthibitisho kwamba kweli huwa wanaishi au ni uvumi tu mkuu?
Mkuu sidhani kama nimetumia msamiati mgumu kiasi gani mpaka wewe ushindwe kunielewa.....nimesema watu wa imani.........tafuta maana ya neno IMANI.......ndio utapata jawabu.......
 
Hakuna maana na ni kutomtendea haki Mungu kuabudu mwili Wa marehemu ila ni heshima tu na kuthamini ila akiingizwa udongoni tunasema kila lakheri huko uendako.na kama umeishi duniani kwa matatizo na kuwakera watu nawe utakatana na hayo hayo huko mbinguni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom