Msaada.Ni ISP gani ungependekeza kupata huduma ya internet nyumbani au ofisini? Konnect,TTCL, VODACOM,TIGO etc

Jul 16, 2021
33
20
Habari Wana Jf,kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.Mfano nataka kufungua ofisi/cafe,niweze kutoa na huduma ya wifi pia.Kwa uzoefu wako,ni ISP gan ungependekeza kuomba huduma husika?

Mfano Konnect wanatoa huduma ya internet kwa njia ya satellite,kama kuna mwenye uzoef wa kutumia huduma zao au kuwafaham vizuri naomba tusaidiane pia.

Kwa upande wa Tigo
Router ambayo ina uwezo wa kuunganisha internet kwenye vifaa hadi 10 bei yake ni Tsh 69000/-. Ukinununua router hiyo utapata ofa ya GB 40 kwa mwezi mmoja pia wana router ambayo ina uwezo wa kuunganisha hadi vifaa 32 bei yake ni Tsh 149,000/- unapata ofa ya GB 80 kwa mwezi mmoja.

Kwenye huduma ya home internet vifurushi vyake kwa wiki ni;
Standard TSH 5,000/- 3GB
Standard Plus TSH 10,000/- 6GB
Premium TSH 15,000/- 11GB

Vifurushi vyake kwa mwezi ni;
Standard TSH 20,000/- 12GB
Standard Plus TSH 35,000/- 25GB
Premium TSH 50,000/- 37GB

Pia kuna vifurushi vya siku 90 kwenye huduma ya home internet kama ifuatavyo;
Tsh 200,000/- GB 100
Tsh 350,000/- GB 200

Asante
10%20Vital%20Elements%20to%20Making%20Your%20Freelance%20Website%20Superb%20_%20Freelance%20Wr...jpg
 
Habari Wana Jf,kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.Mfano nataka kufungua ofisi/cafe,niweze kutoa na huduma ya wifi pia.Kwa uzoefu wako,ni ISP gan ungependekeza kuomba huduma husika?

Mfano Konnect wanatoa huduma ya internet kwa njia ya satellite,kama kuna mwenye uzoef wa kutumia huduma zao au kuwafaham vizuri naomba tusaidiane pia.

Kwa upande wa Tigo
Router ambayo ina uwezo wa kuunganisha internet kwenye vifaa hadi 10 bei yake ni Tsh 69000/-. Ukinununua router hiyo utapata ofa ya GB 40 kwa mwezi mmoja pia wana router ambayo ina uwezo wa kuunganisha hadi vifaa 32 bei yake ni Tsh 149,000/- unapata ofa ya GB 80 kwa mwezi mmoja.

Kwenye huduma ya home internet vifurushi vyake kwa wiki ni;
Standard TSH 5,000/- 3GB
Standard Plus TSH 10,000/- 6GB
Premium TSH 15,000/- 11GB

Vifurushi vyake kwa mwezi ni;
Standard TSH 20,000/- 12GB
Standard Plus TSH 35,000/- 25GB
Premium TSH 50,000/- 37GB

Pia kuna vifurushi vya siku 90 kwenye huduma ya home internet kama ifuatavyo;
Tsh 200,000/- GB 100
Tsh 350,000/- GB 200

AsanteView attachment 2256690
KONNECT MTANDAO WA INTERNET WENYE KASI ZAIDI TANZANIA

KONNECT ni mtandao wa internet unaotoa huduma ya internet kwenye Ofisi, Nyumbani🛖, Hospital, Shule, Vyuo, Hardware , Showroom , Supermaket , Viwandani , Garage, Stationary, Pharmacy Hotels n.k

KWA NINI UCHAGUE KONNECT?
Tunajua umechoka kusubiri mtandao wako ili kuweza ku download au kufungua taarifa.
Mtandao wa Satelite wa KONNECTsasa unapatikana nchini Tanzania. Ambapo tuna uzoefu wa kutoa huduma ya mtandao yani INTERNET kwa miaka 40 Kupitia, satelite yetu ya KONNECT. Ambayo ina kasi ya juu zaidi ya Internet hadi Mbps 100 per sec kwa watu bila kujali wanaishi wapi.

Huduma hii inapatikana kwa njia ya satelite ambayo inakuunganisha wewe kutoka kwenye antena yako kwenda kwenye satelite zetu moja kwa moja za eurosat ambayo inakupa wewe mteja internet yenye speed kubwa na yenye uwezo bila kikwazo chochote cha hali ya hewa

Pata internet isiyo na kikomo kwa kulipia mwezi na utumie kadri uwezavyo bila kujali umetumia matumizi ya ukubwa gani kipindi chote unacho peruzi kwa speed hadi mbps 100 kwa sec

Jiunge na wengine kote Tanzania kwa kutumia huduma zetu leo
Jiunge na data isiyo na kikomo popote Tanzania unganisha hadi vifaa 100

Bei zetu ni nafuuu mnooo ili kupata maelezo zaidi na kupata huduma hii
Wasiliana nasiKwa Simu 0763038490
MWANZA.
Au Kwa WhatsApp 0763038490
Timu yetu ya wataalamu wa mauzo iko tayari kukushauri na kukuunganisha.View attachment 2569116
images.jpg
 
Habari Wana Jf,kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.Mfano nataka kufungua ofisi/cafe,niweze kutoa na huduma ya wifi pia.Kwa uzoefu wako,ni ISP gan ungependekeza kuomba huduma husika?

Mfano Konnect wanatoa huduma ya internet kwa njia ya satellite,kama kuna mwenye uzoef wa kutumia huduma zao au kuwafaham vizuri naomba tusaidiane pia.

Kwa upande wa Tigo
Router ambayo ina uwezo wa kuunganisha internet kwenye vifaa hadi 10 bei yake ni Tsh 69000/-. Ukinununua router hiyo utapata ofa ya GB 40 kwa mwezi mmoja pia wana router ambayo ina uwezo wa kuunganisha hadi vifaa 32 bei yake ni Tsh 149,000/- unapata ofa ya GB 80 kwa mwezi mmoja.

Kwenye huduma ya home internet vifurushi vyake kwa wiki ni;
Standard TSH 5,000/- 3GB
Standard Plus TSH 10,000/- 6GB
Premium TSH 15,000/- 11GB

Vifurushi vyake kwa mwezi ni;
Standard TSH 20,000/- 12GB
Standard Plus TSH 35,000/- 25GB
Premium TSH 50,000/- 37GB

Pia kuna vifurushi vya siku 90 kwenye huduma ya home internet kama ifuatavyo;
Tsh 200,000/- GB 100
Tsh 350,000/- GB 200

AsanteView attachment 2256690
Na hao jamaa wa konnect wana vfurush vya kuanzia konnect 20 ambavyo speed yake n 20mbps had konnect 100 ambapo speed yake n mbps 100 kwa kifupi ukipig sm hiy utapewa maelekez vzur na waweza pia watembelea ofisin kwao kwa dar ni ppf tower na kwa mwanza wapo pssf tower
 
Back
Top Bottom