TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014. Asante
 
TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014. Asante

hakuna uwiano wowote hapo
 
TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014. Asante

Upo sawa kabisa
 
Haina ukweli wowote kwa sababu mshahara unaongezeka kwa asilimia sasa serikali haijatuambia imeongeza asilimia ngapi kwa mwaka huu wa fedha maana mwaka jana waliongeza asilimia 41
 
tgs a1 346,000
tgs b1 394.000
tgs c1 582,500
tgs d1 639,000
tgs e1 819,000
tgs f1 1,053,000
tgs g1 1,370,000
tgs h1 1,784,000
tgs i1 2,465,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka alhamis wizaran. Inaanza julai 2014. Asante

hii ni teki home
 
Kichwa cha thread kinavutia as if ukifungua utakutana na scale kumbe ni utumbo tu tena wa kiti moto. Pppptuuuu!!!
 
ulikuwa unauliza swali au? jaribu kijifunza namna bora ya uandishi . kwangu mimi sifahamu hizi scale mpya!!!™
 
Back
Top Bottom