Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,323
- 6,811
Nadhani hii ni TGS E mkuu!
Niliwahi kupata kazi serikalini kwa TGS E na kitu kilikuwa kinachezea hapo...ofcourse nilisepa
shauri yako we na goeff!!! wenzenu ndo wanaishi sasa....kwa raha zao
itabidi tukomae na wawekezaji wa ki-asia.........!Sawa mkuu, kweli bongo tambalale!!!!!!!!
Ni sh 322,040/=
yap bila kodi...au pengine inategemea ni ki-ngazi kipi manake kuna vingazi almost kumi kwenye hiyo TGS D ambavyo vinapishana less than fifteen thousands TZS kama sikosei
Wapwa nawashukuru,,,nimeamua kuchana resume niliyoiandaa,,acha tu niendelee kubanana hapa hapa,, japo kipunda punda,,, ukirudi home hata Mwajuma huna haja nae..
Hm..unaua mkuu!!!!!!!!!
mishahara ya gavamenti ni midogo hivi?
sasa ukiwa dar utaishije?
ndiyo maana huko mikoani, dar inaitwa bongo....unaishi kwa kutumia bongo yako
Wapwa nawashukuru,,,nimeamua kuchana resume niliyoiandaa,,acha tu niendelee kubanana hapa hapa,, japo kipunda punda,,, ukirudi home hata Mwajuma huna haja nae..
Mbuvu yuko sahihi jamani, TGSD nI 322 ELUFU! hiyo kwako mkuu labda ilikuwa enzi zile.....
Then jambo la kusikitisha vi semina, vikongamanao, vi warsha pinda kavifuta vyoote! Sijui jamaa wanaishije kweli duniani hakuna usawa! wakati kuna watu wanajengewa nyumba moja ya kulala kwa mabilioni na taasisi ya umma mtu mwingine mwenye mahitaji sawa analipwa 322 elufu kabla ya makato! na hapo hajachukua mkopo SACCOS!!!!!....
Wapwa nawashukuru,,,nimeamua kuchana resume niliyoiandaa,,acha tu niendelee kubanana hapa hapa,, japo kipunda punda,,, ukirudi home hata Mwajuma huna haja nae..
Mshirazi,
Inategemea unaajiriwa wizara gani na katika wizara hiyo pia unawekwa kitengo gani. Ziko wizara ambazo wana project nyingi ambazo posho zake tu zinazidi mshahara wa Profesa wa Chuo Kikuu. Pia kama wadau wengine walivyosema una nafasi pia ya kujiendeleza kielimu zaidi huku ajira yako ikiwa inakusubiri. Unaweza kuni-PM nikakupa hints zaidi.
Ni mshahara wa Tshs 282,595.50