ahahahahaha...unaulizia TGS scale au ajira za watu binafsi? kwa TGS Scales kaka nisikufiche wala nini ukikamata BOT na TRA shavu dodo hukosi kitu kama million 4 kwa mwezi...ila ukidondokea hapo ttcl..lazma uchezee kitu ya laki 4-6 kwa mwezi....HUKU SECTOR BINAFSI TULIKO...UNAWEZA HATA KUPEWA U-DIRECTOR NA UKAAMBULIA SHARES ZA HIYO KAMPUNI....
ila mzee huoni kama unakuja kuwanyima ajira wadogo zako 20,000 waliomaliza UDOM na main Campus kwakuwa hawana xperience kama yako?...kwanini usijipange ukawaajiri kama 10 hivi kwa kuanzia kampuni yako...au ujasiriamali ndio hukufundishwa huko chuoni kwenu ulaya?...maana nasikia eti ulaya topic wanazofundishwa wazungu ni tofauti na za weusi..eti mkijua mambo mtaendelea washindwe kuwanyonya kama walivyoshindwa china na japani...
Tena kama vipi ukifika mjini nistue kwa experience yako ya ulaya najua lugha imekaa vizuri tutafly togeza mkuu...tafuta na mzungu m1 atakuwa partner wetu tuanzishe hata kampuni ya ku-supply umeme tuitwe wawekezaji pesa tunakopa bank kwa udhamini wa serikali yetu...na tunakuwa vizuri mzee...Ni maoni yangu mkuu nothing personal ila full meseji
Kiwango cha mshahara kwa mwenye experience kama yako kwenye private sector ni kuanzia $ 5000+
Mkuu nimewahi kusikia kuwa Tanzania kwa sasa kwa mtu mwenye elimu kama yako na ujuzi wa miaka kadhaa huwa analipwa vizuri sana.
Private Sector, Tukianzia kwenye banking:-
Wakuu wa idara kama (heads of Communications, Human Resources, Finance, Financial Markets, Monetary Analysis and Statistics ets wanalipwa kati ya $ 10,000 - $ 15,000
Na kwa Telecommunication
Wakuu wa idara Wakurugenzi na mameneja (heads, advertising, marketing, sales, HR, admin etc wanalipwa kuanzia $ 8000 - $ 12,000
Na nasikia asilimia zaidi ya 90 ni vijana wa kitanzania, jaribu kufuatilia mkuu.
MJ
Usimdanganye mwenzio, wangekuwa wanapata hizo wasingetangaza nia ya kugombea ubunge kila kukicha kwa kukimbilia posho ya TZS 50,000 kwa siku kwa miezi miwili kila mwaka.
Hapa bongo hiyo ni mishahara ya CEO au MD au Diretor kwenye secta binafsi. Serikalini huwezi kupata hizo labda uwe "mbayuwayu"
Mkubwa usiweke sana na mawazo ya kuajiriwa.....make money, then ukirudi bongo ujiajiri.......kuwa mbunifu banaa!!!!Msaidie jamaa basi, ukiona mtu amepost swali hapa jua anahitaji msaada.
Hiyo nimesikia leo. Hizo mbona ni mshahara wa raisi kabla ya kuongeza per diems and mabomu mengine?
.......
Kama ulikuwa hujaisikia, basi habari ndio hiyo. Watu wanachukua hadi $ 8000 kwenye private sector! Sijui nani mbayuwayu.
Kama ulikuwa hujaisikia, basi habari ndio hiyo. Watu wanachukua hadi $ 8000 kwenye private sector! Sijui nani mbayuwayu.