Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,312
- 6,770
Nadhani hii ni TGS E mkuu!
Niliwahi kupata kazi serikalini kwa TGS E na kitu kilikuwa kinachezea hapo...ofcourse nilisepa
Mbuvu yuko sahihi jamani, TGSD nI 322 ELUFU! hiyo kwako mkuu labda ilikuwa enzi zile.....
Then jambo la kusikitisha vi semina, vikongamanao, vi warsha pinda kavifuta vyoote! Sijui jamaa wanaishije kweli duniani hakuna usawa! wakati kuna watu wanajengewa nyumba moja ya kulala kwa mabilioni na taasisi ya umma mtu mwingine mwenye mahitaji sawa analipwa 322 elufu kabla ya makato! na hapo hajachukua mkopo SACCOS!!!!!....