Mshirazi

JF-Expert Member
Dec 8, 2009
444
170
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============

July 2014 UPDATE:
VIWANGO VIPYA VYA MISHAHARA KUANZIA JULAI 2014

TGOS A


 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa?
Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

Mshirazi........naomba nikupe ushauri kuhusu ajira za serikali na sitaki kuzungumzia kipato ila performance yako katika kazi.

Nina rafiki yangu tumemaliza pamoja ADA anafanya kazi serikalini siku mmoja tulikutana na kuzungumza masuala ya kazi nilishangaa sana!

Utaratibu mzima wa nidhamu pamoja na kazi zenyewe si sehemu ya kwenda unless ujitolee sana kufanya kazi la sivyo utakuwa hujifunzi chochote na utakuwa huna challenge mpya we ni kwenda na kurudi siku imepotea.

Jambo zuri ambalo lipo chance ya kuendelea kusoma ni kubwa so fanya maamuzi kutokana na malengo uliyojiwekea.

Mshahara ni mdogo ila marupurupu yakikukalia sawa utaipenda kazi.

Kuhusu scale za mshahara sina idea wenye nazo watupe mwanga please!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…