News Alert:balali Is No Longer??

Pundit

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
3,738
1,225
Kama habari kuwa Kikwete kamfukuza mtu aliyejua kuwa kafa ni kweli basi hii ni "a new low"

Kama bunge la Tanzania lingekuwa sound mnakusanyia maswala ya kumvua madaraka kwa kura ya kutokuwa na imani, hata hiyo miaka mitano mbali.

Itakuja siku atatoa kubwa kuliko ya kutuingiza kwenye Guiness Book of Records (kama hizi kashfa hazitoshi bado) ndiyo watu wataelewa uozo tulio nao Ikulu.
 

Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,525
2,000
JC
Gavana Balali alijiuzulu kabla ya Krismas 2007. Sielewi Ikulu wanacheza mchezo gani.
 

Kitila Mkumbo

Verified Member
Feb 25, 2006
3,350
2,000
Nyie watu mtanivunja mbavu na kinizesha 9(ndo nitakuwa kijana zaidi) bure kwa vicheko hapa, hallo please punguzeni!
 

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
10,181
2,000
...na kwa ajili ameamua kumtimua kazi marehemu[labda akingoja iwe hivyo]..ina maaana alikuwa akiogopa kumtimua akiwa hai ili asiseme ukweli....akijua wazi kuwa makampuni yaliyohusika ..zilikuwa pesa za kampeni yake...mtandao related componies....balali wakati anahojiwa na waandishi kabla hajaondoka alisema kuwa .."hajachukua hata sent ila..kashfa inatokana na watu waliokopa pesa benki kuu..ambao wakiambiwa walipe wanakuwa wakali....""""
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,208
2,000
sijui watu waambiwe mara ngapi Balali mzima na anazungumza...? na anaendelea na mazoezi yake ya viungo akirejesha afya yake.. kwa vile wameshaamu kafa basi tukubali yaishe na amekuwa cremated hivyo hata majivu hamletewi! kubalini yaishe..
 

Keil

JF-Expert Member
Jul 2, 2007
2,214
1,195
Labda system inataka watanzania waamini kwamba jamaa kafa ili serikali isije ikadaiwa kumrejesha kujibu mashitaka. Hii ni njia ya mkato ya kupunguza kelele za watanzania na hivyo kuficha uozo wa Mwananchi Gold, Deep Green, Tangold, Meremeta na mengineyo ambayo kwa kiasi kikubwa yanawagusa hata walio madarakani!
 

Kalamu

JF-Expert Member
Nov 26, 2006
873
0
Na mambo ya siku hizi ya 'Cosmetic Surgery' yaani jamaa hutaweza kumtambua hata ukikutana naye. Kwa hiyo anaweza kuendelea kufaidi mabilioni yake pale bongo bila ya shida yoyote ile.
 

Mwawado

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
998
195
Kama kweli Dr. Balali amefariki,Kikwete na Serikali yake walikuwa wanalingoja hilo ili watoe Hadharani Ripoti ya E&Y.Bado Hakuna Ukweli kuhusu habari za Kifo cha Dr.Balali,walio karibu nae wanatafuta Ukweli wa habari hizo.Lakini haiingii akilini kuona kwamba Ripoti ilikuwa Tayari toka Mid-November,kwa nini ichukue karibu miezi miwili ndio tuambiwe matokeo?.Kikwete na watu wake wanatufanya Watanzania wajinga,ni wazi kwamba siri zao zitawaumbua,kwa sababu Taarifa yake kwa vyombo vya Habari imeweka maswali Mengi,na ni wazi kuwa watu kama Spika Sita ni lazima wawajibike kutokana na kauli zao,kufuatia kukanusha habari hizi za Ufisadi zilipotolewa Bungeni na Dr.Slaa.Tunalisubiri Bunge la 29/Jan/08 litaanza na mambo makubwa,kwani bado ya Buzwagi na Richmond tutayasikia huko!!!
 

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,252
2,000
Yale yale ya Mpakanjia!

Baadhi ya wachangiaji tuliokuwa tunaamini data zao sasa wanatuletea nyepesi-nyepesi.
 

JC

Member
Dec 19, 2007
43
0
JC
Gavana Balali alijiuzulu kabla ya Krismas 2007. Sielewi Ikulu wanacheza mchezo gani.

Ok!!! But mimi kama nataka kuamini mwanakijiji anachosema...May B the guy is still on his recovering health!!!

OK na kama kweli barua ya kujiuzulu..tuliyokuwa nayo hapa JF ilifikiswha kwa wakuu wa ikulu..alafu waka_Ignore so to say!! Leo wakaja na BREAKING NEWS...Eti wao ndio wamebatilisha..Lets be serious...Kama MCHEZO ni kweli..Ikulu Ikawa inacheza na muda ili kuboresha malengo yao!! If that proved to be true..Hamuoni basically hilo litakuwa halina tofauti na la KIBAKI kwenye Mchakato unaoendelea hapo Kenya?
 

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,305
1,250
mwanakijiji wewe it seems wajua fika kuhusu huyo balali aliko huko kuanzia tukiambiwa uko hospitali mpaka icu...na hata leo umepinga kuwa hajafa sasa hebu abainisha habari hii jee wame m amina chifupa (wamemuua) au watu wana m makanjia?(wanamchulia?)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom