Hahaha..na wewe Katibu si ndio mtendaji wa shughuli za kila siku.
Na wewe ukiwa mmoja wao ukjumlisha na bazazi mkuu Mentor na Vin Diesel
Rogie katibu anaanza mafile tuu na watekelezaji wa kazi ni wajumbe akina Vin Diesel na Nicas Mtei, Mentor, Asprin na Kaizer
Naona Heaven on Earth kakugomea, ngoja nikusaidie kumlazimisha.
nimependa mtazamo wako miss neddy hivi ulikuwa wapi?
Hapo bold, do you think inawezekana/kuna mtu wa hivyo/mtu wa hivyo anaexist?
#kimya #kimya mbe.... jana mimi na wewe tulikuwa wapi kama si uongo.
Muulize miss neddy atakuambia nilikuwa naye...:mod:
We Bazaz ina maana ushaanza uharibifu kwa binti miss neddy
we....nani kakutuma
Mlanje naomba uendelee kuwa wmaminifu hivyo hivyo, hapo kwenye bold hapo...UMEOA?
Hebu nyamaza ustiriwe