Neno la leo: The Perfect Guy

Neno la leo: The Perfect Guy

Last edited by a moderator:
Ukubwa dawa best,na kimfaacho mtu chake!!!!!
Ukianza kujiuliza ile pair mbona hai match,jiulize kimya kimya maana wakikusikia wakakupa list ya wanavyo match utakimbia!!!!
Kila mtu na mtuweeeeeee
ha haaa, hapa sina cha kuongeza my dear
 
Tangu lini nyani kaacha kuwacheka wenzie??

Ila nadhani kungekuwa na jinsi ya kutengeneza 3D pictures ili nyani ajione in real time basi angejirestisha in peace!!
Nyani angeona ----- lake ... angejifunza ku-compromise.

Perfect wapi bana...!!!!
 
Niweke sawa zaidi aise.
hapa nilimaanisha kitendo cha yeye kuwa binadamu kinamtoa kwenye kundi la vitu vinavyoweza kuwa perfect, timilifu. hakuna binadamu aliye mkamilifu. lakini kuna binadamu ambao sijui tuwaitaje maana unaweza kuchanganya kuwa ni wakamilifu, yaani wanatisha sana
 
Hahahah, sauti yako inaongea zaidi ya silabu unazizitamka. LOL
Careful next time when u talk to Kau, l can penetrate right thru ur masikio mpaka ubongoni. LOL

Kubrag about perfection ya mwenzako ni mbaya, na hata kutegemea uperfect for ur own standard ni mbaya pia. But you can translate kila kitu chake as perfect. Yaani you make them in ur brain as perfect.
That's why you are my friend.......
aisee umetishaaaaaa balaa
 
Hahahhahaha


Haya rudini kwenye mada, lunch break imekwisha. Sasa Kaizer the whole point is not to love a perfect guy rather to love the imperfect one perfectly
Hakuna Perfect guy bana........Siku hazigandi, weee vipi?

1) Perfect mtandaoni, mkionana KIMEO
2) Perfect six pack....kwenye wallet very IMPERFECT


1)Perfect shape....Kichwani sawa na boga
2) Perfect colour....Makalio ..UUUwwiiiiiii!!!!!!!
..........
 
Hakuna Perfect guy bana........Siku hazigandi, weee vipi?

1) Perfect mtandaoni, mkionana KIMEO
2) Perfect six pack....kwenye wallet very IMPERFECT


1)Perfect shape....Kichwani sawa na boga
2) Perfect colour....Makalio ..UUUwwiiiiiii!!!!!!!
..........

Hahahhah dah..................... nakumiss Babu yangu. Hunitendei haki kabisa najiandaa kuomba ulinzi wa kuandamana
 
Back
Top Bottom