Mr Rocky siamini hadi wewe una wasiwasi na u-perfect wangu. Actually kuanzia asubuhi hadi sasa mimi ni very perfect guy:
Sijanywa
Sijavuta
Sija cheat...PERFECT AND I EXIST.
again, neno DOESN'T haimaanishi HAS NEVER
Angalia hapa: Mentor doesn't drink alcoholic beverages - Mentor hanywi vilevi (kwa muda gani..haijatamkwa)
Tuseme mara ya mwisho nimecheza mechi ya ugenini ni tarehe 25 baada ya kutoka Escape 1 (msiulize na nani). Ila tangu hiyo sijacheza mechi ya ugenini. Tukikutana nikakuambia Mimi huwa si-cheat sitakuwa nimekosea kwani tangu tarehe 26 nilianza chapter mpya (ya kale yalipita, tazama yamekuwa mapya).
Hence therefore, as of today, 30 January 2014 (sijui kuhusu kesho):
Mentor doesn't drink
Mentor doesn't smoke
Mentor doesn't cheat...A Perfect guy!
Halafu shem
watu8 nasikia unakesi ya kumkana mwana kisa katiwa mimba na
Kaizer. Mumewe
Nicas Mtei akamkasirikia akamfukuza home ndipo alipokuja nawe ukamfukuza.
Taarifa hizi zimfikie pia:
Asprin - hawara wake.
PM Moderator,
Mentor.