excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,861
I like your economic persepective Excel
thanks Kaizer!
endapo Heaven on Earth angalikuwa mke wangu, wallahi ningelimsomesha economics and finance!
Last edited by a moderator:
I like your economic persepective Excel
Hvo vilivotajwa hapo wanaume wengine wanavyo,sema tu huwezi pata ambae ana kila kitu unachopenda,yani lazima kuna sehemu kuna 'shoti' ambayo kuimesa inakuwa ngumu,il cz unampenda inabidi umeze
Neno la leo linasema hivi, to all MMUs looking for the perfect guy....
"The perfect guy
Doesn't DRINK
Doesn't SMOKE
Doesn't CHEAT
And Doesn't EXIST"
Karibuni kwa mjadala huru....
Sio kweli, mbona wapo wengi wenye sifa hizo na zaidi. Kama alivyosema Fixed Point wake ana-exist na wangu pia yupo.....Aaaah samahani aisee kumbe unazungumzia wanaotafuta hawawezi kupata mtu mwenye sifa hizo, lkn wapo mkuu.Neno la leo linasema hivi, to all MMUs looking for the perfect guy....
"The perfect guy
Doesn't DRINK
Doesn't SMOKE
Doesn't CHEAT
And Doesn't EXIST"
..
Ablessed asante kwa kuja umemsoma Fixed Point vizuri lakini?Sio kweli, mbona wapo wengi wenye sifa hizo na zaidi. Kama alivyosema Fixed Point wake ana-exist na wangu pia yupo.....Aaaah samahani aisee kumbe unazungumzia wanaotafuta hawawezi kupata mtu mwenye sifa hizo, lkn wapo mkuu.
Hapana sijamsoma zaidi kwani post ni nyingi mno nami nilichelewa kuiona mada hii. Hivi kasemaje hebu nijuzee.Ablessed asante kwa kuja umemsoma Fixed Point vizuri lakini?
thanks Kaizer!
endapo Heaven on Earth angalikuwa mke wangu, wallahi ningelimsomesha economics and finance!
Ningelikuwa but still naweza kuwa Excel
Ningelikuwa but still naweza kuwa Excel
Yeanh kweli sasa umepona!!!!!!
We jiachie tu kama yule dada aliyerekodiwa mazungumzo.
Am on earth tena Dar es salaam,TanzaniaThen you are the perfect guy, but not on earth.
Neno la leo linasema hivi, to all MMUs looking for the perfect guy....
"The perfect guy
Doesn't DRINK
Doesn't SMOKE
Doesn't CHEAT
And Doesn't EXIST"
Waione AshaDii gfsonwin DEMBA Asprin Teamo Dark City Nyamayao The Finest carmel Zion Daughter The Boss Mtambuzi Bujibuji Madame B KakaKiiza snowhite cacico Kaunga neggirl miss neddy Ladymasa TIMING Money Stunna Heaven on Earth RR Bigirita King'asti mwaJ Fidel80 MwanajamiiOne Maty LD Mr Rocky Erickb52 Arushaone Preta Filipo marejesho Nivea vivian badiebaby Eiyer Mentor charminglady Katavi ram amu atug grafani11 OLESAIDIMU mwekundu Malafyale Rogie
Karibuni kwa mjadala huru....
Mhh.NapingaNeno la leo linasema hivi, to all MMUs looking for the perfect guy....