MSIBA: Figganigga Amefiwa!


Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,736
Points
2,000
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,736 2,000
Kwa masikitiko makubwa nawatangazia kuwa mwenzetu Figganigga amefiwa na babu yake mpendwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.

Msiba uko nyumbani KIJITONYAMA MAKUMBUSHO, MTAA WA NIGER KARIBU NA SAFINA HOTEL. Wasiliana na Figganigga kwa namba yake 0714253692 Pia kama utapenda kutuma Tigo Pesa kwa ajili ya rambirambi kama ilivyo kawaida yetu wanaJF.


Taratibu za mazishi bado haijajulikana kwa kuwa kuna ndugu zao wako nje ya nchi, mpaka waje nchini.

Poleni wote.

=========================================
===============UPDATES====================
=========================================

Mazishi YATAFANYIKA Jumamosi tarehe 22/06/2013
MAKABURI YA KINONDONI.


Copy:
Asprin AshaDii Amyner Arabela Android andybird314 Asnam ADK Asulo afrodenzi Aggrey86 Anita Baby AmKATRINA BAGAH Bishanga Blaki Womani Bulldog beibe nasty Baba V Boflo Bondpost by default Babuu blessed Bujibuji BHULULU BADILI TABIA dubu bird cacico C6 charminglady Cantalisia COURTESY Chibolo Codon Catherine Chilli Dark City Dena Amsi Erickb52 eli Edson eversmilin Filipo Erotica FP FirstLady1 figganigga gfsonwin GECHANYA ipad IGWE Jaslaws Jiwe Linaloishi Judgement jeneneke Kaizer KARIA Katavi Kaunga kapistrano Kipipi Kimbweka King'asti Kongosho KING Kingo KakaKiiza Kapalampya LiverpoolFC Losambo lara 1 lily Lily Flower Mamndenyi muhanga mtu chake Mada mtundu Mabreka Mr Rocky Mbuzi Mzee MKATA KIU Mtambuzi mikela Madame B MadameX Mtoboasiri Mpenda Yesu Money stunna Mphamvu marejesho Marekebisho Mkusa MUSSOLIN MAMMAMIA Mtalingolo mathematics mase88 manoah Mungi muuza ubuyu matongo manawa mfarisayo Mentor Majigo Mr Q majany Mtoto halali na hela Mwanyasi mwa mwaJ Mzee wa Rula Neylu ney kush Ngeli Nyakwec's Bro Natalia NORTHERN ROCK Nicas Mtei Mzee Mwanakijiji Ngaliba Dume Ndahani ndetichia Nokla Nicole PakaJimmy Preta platozoom patience96 pretty n Remmy Rejao Rungu Ruzyfar Rweye Ronn M Ruhazwe JR Roulette Ruttashobolwa stevoh Swts Smile Smiles Passion Lady St. Paka Mweusi sweetlady Lucas Shark Suprise snowhite SnowBall Slave The secretary TIQO tedo sanga UKI Vin Diesel ummu kulthum Wakati Wozoza watu8 Young Master YouTube Yummy Zinduna zubedayo_mchuzi Zion Daughter zomba Mwita Maranya The Boss, mgaza2001, The Finest, Chauro, Matola, mama D, Mshawa Thanda, The Boss, Mtumishi Wetu, Nazjaz mfumo, Ndukidi Paxman WomanOfSubstance, double R MwanajamiiOne Kichuguu H1N1 moto2012 Albedo HorsePower Iman johnn Kichuguu Bigbro vanmedy BelindaJacob EMT Tuko MTM, Eiyer klorokwini Nyamayao LD Maty Nivea Maxence Melo Invisible Paw Fang Silencer PainKiller Buchanan Cookie Meezy.
 
Rich Woman

Rich Woman

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Messages
858
Points
195
Rich Woman

Rich Woman

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2012
858 195
pole sana figganigga
[h=2][/h]
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
8,762
Points
0
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
8,762 0
Pole sana my best friend figganigga Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu muweze kufanikisha vyema safari ya babu yetu mpendwa, nikitoka Kiteto nitakuja kukuona
 
Last edited by a moderator:
marejesho

marejesho

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
6,638
Points
2,000
marejesho

marejesho

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
6,638 2,000
Pole figganigga ...
 
Last edited by a moderator:
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2008
Messages
25,167
Points
2,000
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2008
25,167 2,000
Pole sana figganigga. Mungu amweke mahali pema peponi babu yetu. mia.
 
Last edited by a moderator:
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
25,012
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
25,012 2,000
Pole sana mkuu figganigga.
 
Izz

Izz

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
735
Points
195
Izz

Izz

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
735 195
Pole sana figganigga, Poleni wafiwa!

M/Mungu awatie nguvu na awape moyo wa subra katika kipindi hiki kigumu!
 
Last edited by a moderator:
Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
5,217
Points
2,000
Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
5,217 2,000
Pole sana Figaniga Mzee wa Mia.
 
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
693
Points
0
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
693 0
Mungu awatie nguvu nyote

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
gulio

gulio

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2012
Messages
294
Points
225
gulio

gulio

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2012
294 225
Pole sana na Mungu awape faraja kupitia mahubiri yanayotolewa na watumishi wa Mingu
 
YNNAH

YNNAH

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Messages
1,681
Points
1,225
YNNAH

YNNAH

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2011
1,681 1,225
Pole sana figganigga, mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu
 
Last edited by a moderator:
kbm

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
5,149
Points
1,500
kbm

kbm

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
5,149 1,500
...pole sana mkuu "Figganigga" kwakufiwa babu yako mpendwa...
Mwenyezi Mungu Awe nawe...
 
Mayasa

Mayasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Messages
587
Points
195
Mayasa

Mayasa

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2010
587 195
Pole sana figganigga kwa kuondokewa na Babu
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,283,898
Members 493,869
Posts 30,805,332
Top