Neno la leo: The Perfect Guy

Neno la leo: The Perfect Guy

tena Ennie ujue nimekuona sehem sehem nikajua wewe wa nyumbani utakuja tu huhitaji mluzi lol....

Hivi kuna perfect kweli umbuje?
Mimi aki fit kwenye vigezo vyangu hata by 70% huyo ananifaa kabisa.
Nimsake perfect na mapungufu yangu nitayaficha wapi? Maana nami ni binaadamu pia,maisha kuvumiliana ujue umbuje,kila mtu ana mapungufu yake........
 
Umeona eeh. He is perfect to you lkn anaweza asiwe kwa Joyce.
Lakinj mimi napenda kutumia zaidi Right Guy kuliko perfect. Perfection iko kwa Mungu tu.
Kaunga, naogopa kusemea hilo nitaharibu ladha ya ulichosema....naona seniority ichukue mkondo wake tu:ranger:
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, hapo rafiki niliiacha ina-hang kwa makusudi.......
nisome saaaanaaaa kwenye post zinazofuatia......

Nimekusoma, lkn bado nafikiri sio mbaya kumuona mwenzako perfect hata kwenye baadhi ya mambo. His body can be perfect. Your sex life can be perfect kwa standards zenu na hata maisha in general.
Kifupi ni kumagnify mazuri na kuyaignore mapungufu that is what make things n people seem perfect.
 
Hivi kuna perfect kweli umbuje?
Mimi aki fit kwenye vigezo vyangu hata by 70% huyo ananifaa kabisa.
Nimsake perfect na mapungufu yangu nitayaficha wapi? Maana nami ni binaadamu pia,maisha kuvumiliana ujue umbuje,kila mtu ana mapungufu yake........
Ennie unajua bana umeongea makitu mazito sana,,,kwa uwezo wa kikatiba nilionao, namwamuru Asprin akuulize kinywaji upendacho akupatie chap chap sana upooze koo baad aya hoja hii nzito'

Yaani unakuta mtu anatoka na mke/mume wa mtu, na bado atakwambia "my guy/girl is perfect kabisa".....labda kwa maana ya "provisioning" kama alivyosema Asprin lol
 
Popote ulipo Ennie, neno la mwenyekiti ni amri. Chapchap sana kam zis wei, wizaut. nimeteuliwa kuwa perfect guy wako.
 
Last edited by a moderator:
perfect guy lazima awe strong economically
hii ni sifa muhimu sana Kaizer umeisahau
wengine watapretend huo uperfect
hatokunywa kwa sababu hana hela
hata cheat kwa sababu hela ya kuhonga hana
hata smoke kwa sababu hana hela ya sigara
lakini akiwa strong economically na akaweza kujizuia yote hayo
huyo ndo perfect guy
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma, lkn bado nafikiri sio mbaya kumuona mwenzako perfect hata kwenye baadhi ya mambo. His body can be perfect. Your sex life can be perfect kwa standards zenu na hata maisha in general.
Kifupi ni kumagnify mazuri na kuyaignore mapungufu that is what make things n people seem perfect.
Kaunga my friend...... hapa naweza kuamini kuwa tunapomaliza kuongea kwa simu huwa siikati na unasikiliza maongezi yetu ya chumbani.......
kama utazungumzia perfection ya baadhi ya vitu au mambo ya mwenzako, you are right. Ila kujiaminisha kuwa mtu yupo perfect ni hatari sana.........
 
perfect guy lazima awe strong economically
hii ni sifa muhimu sana Kaizer umeisahau
wengine watapretend huo uperfect
hatokunywa kwa sababu hana hela
hata cheat kwa sababu hela ya kuhonga hana
hata smoke kwa sababu hana hela ya sigara
lakini akiwa strong economically na akaweza kujizuia yote hayo
huyo ndo perfect guy
kwani ku cheat sio tabia?au depends on money mine miss neddy
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna perfect kweli umbuje?
Mimi aki fit kwenye vigezo vyangu hata by 70% huyo ananifaa kabisa.
Nimsake perfect na mapungufu yangu nitayaficha wapi? Maana nami ni binaadamu pia,maisha kuvumiliana ujue umbuje,kila mtu ana mapungufu yake
........
nimekutoa kwa list ya wenye uwezekano wa kupata heart attack......... ukubwa dawa ujue.....
 
Back
Top Bottom