Neno la leo: The Perfect Guy

Neno la leo: The Perfect Guy

perfect guy lazima awe strong economically
hii ni sifa muhimu sana Kaizer umeisahau
wengine watapretend huo uperfect
hatokunywa kwa sababu hana hela
hata cheat kwa sababu hela ya kuhonga hana
hata smoke kwa sababu hana hela ya sigara
lakini akiwa strong economically na akaweza kujizuia yote hayo
huyo ndo perfect guy

nimependa mtazamo wako miss neddy hivi ulikuwa wapi?

Hapo bold, do you think inawezekana/kuna mtu wa hivyo/mtu wa hivyo anaexist?
 
Last edited by a moderator:
Kaunga my friend...... hapa naweza kuamini kuwa tunapomaliza kuongea kwa simu huwa siikati na unasikiliza maongezi yetu ya chumbani.......
kama utazungumzia perfection ya baadhi ya vitu au mambo ya mwenzako, you are right. Ila kujiaminisha kuwa mtu yupo perfect ni hatari sana.........

Nimedandia hoja hapo Fixed Point, hivi wewe na Kaunga nani senior kwa mwenziye.....
 
Last edited by a moderator:
perfect guy lazima awe strong economically
hii ni sifa muhimu sana Kaizer umeisahau
wengine watapretend huo uperfect
hatokunywa kwa sababu hana hela
hata cheat kwa sababu hela ya kuhonga hana
hata smoke kwa sababu hana hela ya sigara
lakini akiwa strong economically na akaweza kujizuia yote hayo
huyo ndo perfect guy

You are welcome.
 
mimi nimeangalia hii signature yako, nikaipenda,.....ina ujumbe mzito sana kijana wangu

"One day your eyes will open and your mind will learn,with pain and laughter,you will know what you are."
Ni ujumbe mzito kwakweli mkuu. It's a poem.
 
Niko shambani napalilia mahindi na kumalizia kuweka mbegu za mpunga maana mvua zimechachamaa sana

Ila nataka niwaambie neno moja tu kuwa,binadam tunahangaika kuwatafuta wakamilifu kwasababu hatujiamini na ni dhaifu sana

Ukiona unaanza kuweka vigezo vya ajabu ajabu kwenye kutafuta mwenza jua wewe una matatizo mengi sana

Mtu anaejitambua hana haja ya mtu mkamilifu kwani anaweza kuishi na yoyote

Ngoja niwape kauli yangu kuwa,kama MWANAUME asie cheat,kunywa na kutokuvuta basi mimi ni perfect sanaaaaa

Kaizer hebu mwambie Ennie apokee simu,mwambie kale ka jamaa kake ni perfect kama wewe . . . . . .lol

Ngoja nirudi shambani kwanza . . . . . . . .
 
Last edited by a moderator:
Kaunga my friend...... hapa naweza kuamini kuwa tunapomaliza kuongea kwa simu huwa siikati na unasikiliza maongezi yetu ya chumbani.......
kama utazungumzia perfection ya baadhi ya vitu au mambo ya mwenzako, you are right. Ila kujiaminisha kuwa mtu yupo perfect ni hatari sana.........

Hahahah, sauti yako inaongea zaidi ya silabu unazizitamka. LOL
Careful next time when u talk to Kau, l can penetrate right thru ur masikio mpaka ubongoni. LOL

Kubrag about perfection ya mwenzako ni mbaya, na hata kutegemea uperfect for ur own standard ni mbaya pia. But you can translate kila kitu chake as perfect. Yaani you make them in ur brain as perfect.
 
Back
Top Bottom