Neno la leo: The Perfect Guy

Neno la leo: The Perfect Guy


Perfect guy exist, but in low percentage
 
He he he heeeeeeeeeeeeeeee......

Hivyo hata mie naweza kuitwa hivyo kweli...???

Hujanitendea haki mkubwa mwenzangu....halafu leo mie mchovu sana!!
ha haaaa, you should smile mkubwa mwenzangu..........
a boy is a boy, hebu niambie kwamba you are no more a boy kwa bibi....... (I am very much aware that I am not bibi)
 
Naam, pia siyo playa hater, mbea mbea, na mzushi wa kuzushia watu (asiowajua) uzushi.
 
Mr Rocky siamini hadi wewe una wasiwasi na u-perfect wangu. Actually kuanzia asubuhi hadi sasa mimi ni very perfect guy:

Sijanywa
Sijavuta
Sija cheat...PERFECT AND I EXIST.

again, neno DOESN'T haimaanishi HAS NEVER

Angalia hapa: Mentor doesn't drink alcoholic beverages - Mentor hanywi vilevi (kwa muda gani..haijatamkwa)

Tuseme mara ya mwisho nimecheza mechi ya ugenini ni tarehe 25 baada ya kutoka Escape 1 (msiulize na nani). Ila tangu hiyo sijacheza mechi ya ugenini. Tukikutana nikakuambia Mimi huwa si-cheat sitakuwa nimekosea kwani tangu tarehe 26 nilianza chapter mpya (ya kale yalipita, tazama yamekuwa mapya).

Hence therefore, as of today, 30 January 2014 (sijui kuhusu kesho):
Mentor doesn't drink
Mentor doesn't smoke
Mentor doesn't cheat...A Perfect guy!


Halafu shem watu8 nasikia unakesi ya kumkana mwana kisa katiwa mimba na Kaizer. Mumewe Nicas Mtei akamkasirikia akamfukuza home ndipo alipokuja nawe ukamfukuza.

Taarifa hizi zimfikie pia: Asprin - hawara wake.



PM Moderator,
Mentor.

Hahaahaha kila mtu atautwaa mzigo wake. Ule mzigo wa jana ni wa kwako for sure
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom