Hapana kina wangu City hunter j.......mwaga mapoint
Ni jambo jema kujijua kwamba you are not perfect....MwanajamiiOne, sadly I am Luckily I am NOT perfect, thats why you know that I exist......haaa:tonguez:
Mkuu Mr Rocky, I simply stated the obvious, sijakatisha mtu tamaa hapo
...and on seeing this, God created Mentor.
PM Moderator,
Mungu pia alimuumba Yuda Iskariote, simshangai kukuumba we kabazazi.
Kibazazi kilisababisha mtu ajaribu kujiua
Kibazazi kilisababisha mtu ajaribu kujiua
Afu kinampakazia, the perfect guy kwa msaada wa umri lol
Mungu pia alimuumba Yuda Iskariote, simshangai kukuumba we kabazazi.
Ila hommie ukasahau kitu kimoja. Huyo perfect guy ambaye haexist, anaweza tu akaexist, kama na kama tu ana mahela ya kutosha. Them girls wakishaona una mahela mengi wanakuwa hawakuoni ukinywa ukivuta na ofkozi wakikukuta na mwanamke mwingine hata kama mko kitandani uchi mnafanya dhambi, wanaamini ulikuwa unampa business plan....
Mlanje naomba uendelee kuwa wmaminifu hivyo hivyo, hapo kwenye bold hapo...UMEOA?No you are wrong I exist(Kwa kumwogopa mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi mimi ni kijana mwaminifu na naamini tupo wengi maana sivuti sigara,sinywi pombe,sidanganyi kwenye mapenzi na ni mwaminifu sana kwenye mapenzi na sifa nyingine tele tupo wengi sana bwana)
Ni jambo jema kujijua kwamba you are not perfect....
hii inasaidia mambo mengi sana kwenye mahusiano..... niseme zaidi?
Babu hadi mimi leo unanikana...!!!
Afu kinampakazia, the perfect guy kwa msaada wa umri lol
Haahaha. Kumbe kabla marehemu hajajiua alikuwa anampigia bazaz Mentor simu lakini akawa hapokei. Duru zinaonesha kuwa kitendo hicho kilimuudhi marehemu ndipo akaamua kubwia sumu.