Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,979
- 218,902
Taarifa kamili hii hapa
Dikteta aliwatoaga kwa gilba hawa
Hadi Mwanaidi Majaar !Tupambane jamani
Watu wanarudi wale wale kama vile watu hawapo
Hapo kuna kama majina manne makubwa yananitia mashaka sana na uadilifu wao kuanzia Mchechu,Mafuru,Maajar na Mzee Gachuma naona kama ni watu wa fursa zaidi,najua huyo mtoto wa Bakhressa hana njaa na hao wengine siwajui sana.
Hivi hakuna watu wengine zaidi ya Hawa kina Mafuru, na Mchechu?
Duh kweli kazi iendelee
Naona makamba amewakumbuka vijana wenzie. Hao Mafuru na Mchechu ni CEOs waliong'ara sana na kuleta mapinduzi kwenye taasisi walizo wahi kuendesha. Sema siasa pia iliwaingilia mno kiasi wakashindwa kuhimili, na kuathiriwa na uadirifu
Ilikuwa na watu wa hovyo sanaKambi Chatial kwisha habari yake !!
Tupambane jamani
Watu wanarudi wale wale kama vile watu hawapo
Mimi sio waoWao watu nyie watu
Kuteuliwa kwao ni kama vile ungeteuliwa wewe tuu...
Bomu linalokwenda kutengenezwa pale TANESCO Mungu ndiyo anajua