January Makamba kwanini uliwafukuza mainjinia pale Tanesco?

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,750
15,225
Pamoja na kwamba hayati Magufuli alitangaza hadharani kwamba amewasamehe lakini kwa mambo yanavyoenda sasa hivi ni dhahiri Makamba na Nape waliomba msamaha kinafiki na walipokea msamaha kinafiki pia.

Makamba alipoteuliwa tu uwaziri wa nishati kazi ya kwanza ilikuwa ni kwenda kufukuza ma electrical engeneers wote pale Tanesco na alipoulizwa kwa nini unafukuza watendaji wote ? Akajibu hataki kufanya kazi na watu walioteuliwa na Magufuli!!, leo ni miaka mitatu imepita lakini kila tatizo linapoibuka pale Tanesco , Makamba husema sababu ni Magufuli alilazimisha mashine kuwaka bila kufanyia service!

Chuki ya Makamba kwa Magufuli imesababisha miradi yote ya Tanesco kuzorota kwa kasi, mgao wa umeme, usambazaji umeme vijijini ni kama haupo kila kukicha ni visingizio vya kila aina.

BODI YA TANESCO ILIYOUNDWA NA MAKAMBA

"Taarifa kwa umma ya leo Jumamosi Septemba 25, 2021 iliyotolewa na Waziri imewataja wajumbe hao wa bodi mpya ya TANESCO ni
Mkurugenzi Maharage Chande,
Nehemia Mchechu, Zawadia Nanyaro, Lawrence Mafuru, Eng Cosmas Masawe, Abubakar Bakhresa, Eng. Abdallah Hashim, Balozi Mwanaidi Maajar, Christopher Mwita Gachuma."

BODI YA TANESCO ILIYOVUNJWA NA MAKAMBA
Mkurugenzi Eng Tito Mwinuka,
"Balozi Dk James Nzagi (alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO iliyomaliza muda wake) na Dkt. John Kihamba (Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Saam - DUCE).

Wengine ni Dk Lugano Wilson (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uhandisi na Mkuu wa Teknolojia za Nishati - TIRDO), John Kulwa (Mkuu wa Idara ya Ukaguzi Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya na Sayansi Shirikishi - MUHAS) na Denis Munumbu (Mchunguzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa - TAKUKURU).
Dk Gemma Modu (Mkurugenzi NACTE), Mathew Kirama (Mkurugenzi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma) na Gilay Shamika (Mjumbe katika bodi iliyopita)"

#Makamba Na Bodi yako ya Kubumba,yenye wajumbe wenye kutia shaka,kuanzia "kitaaluma" mpaka "kimaadili."
 
Hizi takataka zingejua ni kiasi gani watu wanaumia kwa huu upuuzi wao zingetumia kodi zetu kwa uadilifu.
 
Bodi ya TANESCO.
Nehemia Mchechu, Zawadia Nanyaro, Lawrence Mafuru, Eng Cosmas Masawe, Abubakar Bakhresa, Eng. Abdallah Hashim, Balozi Mwanaidi Maajar, Christopher Mwita Gachuma.

HAWA VIUMBE MUNGU AWAANDALIE MOTO WA GESI HUKO AHELA!
 
Daaah
 
Pamoja na kwamba hayati Magufuli alitangaza hadharani kwamba amewasamehe lakini kwa mambo yanavyoenda sasa hivi ni dhahiri Makamba na Nape waliomba msamaha kinafiki na walipokea msamaha kinafiki pia.

Makamba alipoteuliwa tu uwaziri wa nishati kazi ya kwanza ilikuwa ni kwenda kufukuza ma electrical engeneers wote pale Tanesco na alipoulizwa kwa nini unafukuza watendaji wote ? Akajibu hataki kufanya kazi na watu walioteuliwa na Magufuli!!, leo ni miaka mitatu imepita lakini kila tatizo linapoibuka pale Tanesco , Makamba husema sababu ni Magufuli alilazimisha mashine kuwaka bila kufanyia service!

Chuki ya Makamba kwa Magufuli imesababisha miradi yote ya Tanesco kuzorota kwa kasi, mgao wa umeme, usambazaji umeme vijijini ni kama haupo kila kukicha ni visingizio vya kila aina.

BODI YA TANESCO ILIYOUNDWA NA MAKAMBA

"Taarifa kwa umma ya leo Jumamosi Septemba 25, 2021 iliyotolewa na Waziri imewataja wajumbe hao wa bodi mpya ya TANESCO ni
Mkurugenzi Maharage Chande,
Nehemia Mchechu, Zawadia Nanyaro, Lawrence Mafuru, Eng Cosmas Masawe, Abubakar Bakhresa, Eng. Abdallah Hashim, Balozi Mwanaidi Maajar, Christopher Mwita Gachuma."

BODI YA TANESCO ILIYOVUNJWA NA MAKAMBA
Mkurugenzi Eng Tito Mwinuka,
"Balozi Dk James Nzagi (alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO iliyomaliza muda wake) na Dkt. John Kihamba (Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Saam - DUCE).

Wengine ni Dk Lugano Wilson (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uhandisi na Mkuu wa Teknolojia za Nishati - TIRDO), John Kulwa (Mkuu wa Idara ya Ukaguzi Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya na Sayansi Shirikishi - MUHAS) na Denis Munumbu (Mchunguzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa - TAKUKURU).
Dk Gemma Modu (Mkurugenzi NACTE), Mathew Kirama (Mkurugenzi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma) na Gilay Shamika (Mjumbe katika bodi iliyopita)"

#Makamba Na Bodi yako ya Kubumba,yenye wajumbe wenye kutia shaka,kuanzia "kitaaluma" mpaka "kimaadili."
What is your message?
 
What is your message?

BODI YA TANESCO ILIYOUNDWA NA MAKAMBA[/I]

Bado hujasema

What is your message ? Hadi sasa unatoa taarifa

Lakini hujasema wewe kama wewe una ujumbe gani
 
Mtoa mada unauliza kwanini wakati sababu umeiandika mwenyewe alishajibu. CCM acheni kutufanywa mazwazwa.......nyinyi CCM ndio mazuzu.
 
Ndiyo maana Chadema ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe.

Kucha kuombaomba tu walichofanyia kazi wanaume wenzenu,
. Lema na Lisu Familia zao wanalishwa na wazungu.
 
Back
Top Bottom