kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,159
- 16,153
January makamba ni mmoja ya kati ya mbunge aliyekwiba kura uchaguzi wa 2015 /20 .
Hivyo january kwa wizi huo saa hii alitakiwa awe amejiuzulu na tume ya taifa iwe imetengua ubunge wake,
Takukuru iwe inamuhoji na chama chake kimpe adhabu kali kwa kumtia aibu mwenyekiti wake kuwa alishiriki wizi na hujuma za kukwiba kura na kumuweka jambazi la kura january hayo amekiri mwenyewe kuwa alikwiba kura za 2020.
Kwakua Mungu analipa hapa duniani tutarajie anguko kubwa la january makamba kama hatojiuzulu basi 2025 asitegemee kushinda kwa kua tayari amekiri yeye hapiti kihalali kama alivyotufanyia maswala ya umeme!
Hatari kubwa miaka 10 bumbuli wanaongozwa na mbunge wasie mchagua ndio maana hana uzalendo wala uchungu na nchi!