Nimejiuliza hilo swali mara nyingi bila kupata majibu maana ferry Mombasa zina hali nzuri sana, usafiri ni bure na hata wafanyakazi wa ferry wanafanya kazi zao za kwa umakini mkubwa, sijui hapa bongo tatizo ni nini maana basi hata kama wameamua wananchi kuchangia huduma ingekuwa kidogo sana ili angalau kila mtu aweze kutumia.
Mie niliamini ungetujuza siri ya wao kuvusha watu bure badala yake taarifa yako haijakamilika. Ungetusaidia zaidi au ungeikamilisha taarifa yako kwa kutoa sababu za Kenya kuvusha watu bure. Arguments zako zingewasaidia Wabunge wa Mkoa wa Dar kujustify kauli zao.
Magufuri kakurupuka tu hajui Sheria kazi yake ni kutukana wananchi tu wa Kigamboni Wanaomba Serikali Imchukulie Hatua kali ikiwemo kumvua Gamba... Sasa tuone nani Zaidi Wametengeneza tiketi Bandia wanachumia matumboni mwao pesa nyingi haziingii serikalini Na pia ticket zinauzwa mara kadhaa so pale cha muhimu wadhibiti makusanyo kituo kinaweza kujiendesha na ikiwezekana wabadilishwe wote pale waje waongoza kivuko wapya.
Hebu jiulize kivuko kimenunuliwa na fedha ya nani ? Wizara inayosimami hicho kivuko inapata fedha za bajeti yake kutoka vyanzo gani kama sio kodi, na kodi hiyo inatoka kwa nani kama sio mwananchi. Je unataka serikali iendeshe kivuko kibiashara ama kutoa huduma nafuu kwa wananchi ambao ndio walipa kodi ?
Haya ndiyo maneno yanayopasa kujadiliwa na great thinkers.
Mie niliamini ungetujuza siri ya wao kuvusha watu bure badala yake taarifa yako haijakamilika. Ungetusaidia zaidi au ungeikamilisha taarifa yako kwa kutoa sababu za Kenya kuvusha watu bure. Arguments zako zingewasaidia Wabunge wa Mkoa wa Dar kujustify kauli zao.
uko sawa munoni kweli magufuri hajui sheria,nadhani hii ni sababu mojawapo iliyomfanya asiingize nchi hii katika mikataba feki,akina lowassa,chenge n.k wanajua sana sheria,"kidumu chama cha mapinduzi"
live channel ten mbunge wa kigamboni anamuumbua live live magufuli na wazara yake kuwa hawana haki ya kuongeza nauli mpya kwani hiyo mamlaka amaepewa ewura tena lazima wadau washirikishwe...
Mkuu Wafahamu kuwa Ni Mbunge wa Kigamboni na Si Morogoro! yeye katumwa na Wananchi wa Kigamboni hajalishi yeye ni Mwenyeji wa Wapi ni Mtanzania tu na anawatumikia wananchi wa Jimbo lake hata sie tusio wakazi kigamboni tunataka tukienda kule tulipe kidogo kwani kivuko ni mali yetu sie walipa kodi.... Kilombero Muachie mbunge wa huko kama hana machungu na wapiga kura wake...ndunguliole ni mnafiki tena haina hii ya viongozi kama ya ndungulile haitufai kabisa kwa tanzania tunayoitaka kama jina lake linavyojieleza huyu bwana nahisi ni mwenyeji wa ifakara au mahenge au kilombero anajua fika serikali yake dharimu inavyotoza kiwango cha sh 200 kwa wale wakulima masikini kivuko cha mto kilombelo kwa miaka sasa sijasikia akiiomba selekari ishushe ifanane na ya hapo kigamboni na nyinyi wanakigamboni acheni unyonyaji wenzenu busisi mwanza tsh 300, pangani 200, kilombelo 200 hata nyinyi wa town 100 miaka kumi? acheni hizo sisi tutoke pembezoni kuja posta kwa buku nyinyi mnataka kufika kwa nyento huo ni unyonyaji BIG UP MAGUFURI WAPIGE MBIZI KUDADADAAADAKI