Ndugulile: Magufuli hajui sheria, anakurupuka tu...

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Live Channel Ten Mbunge wa Kigamboni Anamuumbua live Live Magufuli na Wazara yake kuwa Hawana haki ya kuongeza Nauli Mpya kwani hiyo mamlaka amaepewa EWURA tena lazima Wadau washirikishwe...
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Live Channel Ten Mbunge wa Kigamboni Anamuumbua live Live Magufuri na Wazara yake kuwa Hawana haki ya kuongeza Nauri Mpya kwani hiyo mamlaka amaepewa EWURA tena lazima Wadau washirikishwe...

Nauri? Hapana ni nauli
 
Magufuri kakurupuka tu hajui Sheria kazi yake ni kutukana wananchi tu wa Kigamboni Wanaomba Serikali Imchukulie Hatua kali ikiwemo kumvua Gamba... Sasa tuone nani Zaidi Wametengeneza tiketi Bandia wanachumia matumboni mwao pesa nyingi haziingii serikalini Na pia ticket zinauzwa mara kadhaa so pale cha muhimu wadhibiti makusanyo kituo kinaweza kujiendesha na ikiwezekana wabadilishwe wote pale waje waongoza kivuko wapya.
 
Maguduri kakurupuka tu hajui Sheria kazi yake ni kutukana wananchi tu wa Kigamboni Wanaomba Serikali Imchukulie Hatua kali ikiwemo kumvua Gamba... Sasa tuone nani Zaidi Wametengeneza tiketi Bandia wanachumia matumboni mwao pesa nyingi haziingii serikalini

Na pia ticket zinauzwa mara kadhaa so pale cha muhimu wadhibiti makusanyo kituo kinaweza kujiendesha na ikiwezekana wabadilishwe wote pale waje waongoza kivuko wapya.

ni magufuri n0t maguduri,
hata wakija wapya wataiba
 
Like father like son!
Mbona kuandaa mchakato wa katiba rais naye hakuhitaji maoni ya wananchi? Magufuri naye aliona ikiwa jambo zito kama Katiba Rais hakuhitaji maoni ya wananchi au wadau, kwa nini jambo dogo tu kama kivuko?
 
Hawa wabunge wanatia aibu sana..... EWURA?
Kile kivuko si kipo chini ya Comworks?
Yap kipo chini ya hiyo Waizara si ni wamiliki ni kama Mitumbwi nayo inawamiliki wao Wote ni Watoa huduma na wanatoza pesa nauli zimepangwa kiholela.

Magufuri aombe Radhi kwa kauli na maandishi Watu wapige mbizi... Anadhani Mbunge wa kigamboni anatafuta Sifa nooo anawawakilisha wapiga kura wake Maufuri apimwe akili kama Shangazi tujue ana akili za kilo Ngapi
 
kivuko ni sawa na daraja ndugulile ndo kachemsha so kipo chini ya wizara ya ujenzi it seems hawa watu hawajui wanachokifanya
 
Naomba mwenye uelewa na haya mambo atusaidie, Energy and Water Utilities Regulatory Authority inaingiaje hapa? Au ile WATER inamaanisha na boti, vivuko, kambale nk.


Nadhani alitaka kusema SUMATRA ambayo ina deal na surface and marine transport.

Ingawa pia tumeelezwa hapa kwamba waziri ana mamlaka kisheria kuongeza nauli ya kivuko.
Nadhani hapa ndipo kuna mkorogano, nani ni nani kwa sheria gani!
 
Kuna kigezo kimoja Magufuri alikitumia aliposema Mshahara wa Miaka kumi na sita iliyopita kima cha chini kilikuwa ni 45,000/= Rates ya Dollar ilikuwa ni $500 na kiwango cha sasa ni 150,000/= Rate ya Dollar ni $1750

So Mshahara wa 45,000/= ni sawa na Dollar $90 ----1996
Na Mshahara wa 150,000/= ni Sawa na Dollar $86 ----2011

HApo Sasa Mshahara Umepanda au Umeshuka???
 
kivuko ni sawa na daraja ndugulile ndo kachemsha so kipo chini ya wizara ya ujenzi it seems hawa watu hawajui wanachokifanya


Ni kweli kipo chini ya wizara yake lakini nafikiri SUMATRA ndio wanamamlaka ya kupanga bei wakishirikisha wadau. Suala linalomwandama Mgufuri hapa ni kauli ameshindwa kuwasilisha hoja yake kwa maskini lakini nauli kuwa 200 sifikirii kwamba ni tatizo kubwa. Hii inatufundisha viongozi wanatakiwa wachunge midomo yao kwani siku moja tu unaweza ukaharibu sifa zako zote
 
Nadhani alitaka kusema SUMATRA ambayo ina deal na surface and marine transport.

Ingawa pia tumeelezwa hapa kwamba waziri ana mamlaka kisheria kuongeza nauli ya kivuko.
Nadhani hapa ndipo kuna mkorogano, nani ni nani kwa sheria gani!

Ahsante kwa maelezo, anyway, wache waendelea kuvurugana, ndio siku za mwisho. Hii govt ita-crumble kama mnara wa Babeli, kila mtu na lugha yake. Mara Pinda, mara Mapadlock...
 
Ni kweli kipo chini ya wizara yake lakini nafikiri SUMATRA ndio wanamamlaka ya kupanga bei wakishirikisha wadau. Suala linalomwandama Mgufuri hapa ni kauli ameshindwa kuwasilisha hoja yake kwa maskini lakini nauli kuwa 200 sifikirii kwamba ni tatizo kubwa. Hii inatufundisha viongozi wanatakiwa wachunge midomo yao kwani siku moja tu unaweza ukaharibu sifa zako zote
Mkuu ni kweli kauli ni kweli kachemsha na pia suala la Mia Mbili linaweza kuwa Muafaka si baya tatizo lipo kwenye Guta na na mizigo ya wasafiri bei ni za kukadilia na zimepanda kwa asilimia kubwa mno alidai ni zaidi ya asilimia 500...
 
Live Channel Ten Mbunge wa Kigamboni Anamuumbua live Live Magufuri na Wazara yake kuwa Hawana haki ya kuongeza Nauli Mpya kwani hiyo mamlaka amaepewa EWURA tena lazima Wadau washirikishwe...
Ndugu yangu hiki ni kiini macho tu, hao wadau hata waseme na kutokwa na jasho la damu adhima ya kupandisha inaamuliwa na wachache sana , tumeshuhudia the so called wadau wakitoa maoni yao mazuri kwenye adhima ya kupandisha bei ya umeme lakini ili kuhakikisha hilo jambo linapita kama lilivyokusudiwa alisikika mhe. Malima akisema bei mpya hazitawaguza walalahoi walio wengi kitu ambacho si kweli ( samahani kama ulishangilia kwa kauli hiyo ya malima ) ukizingatia bei ya vitu iyapata ku reflect hilo ongezeko na mwenye kuumia ni mlaji wa mwisho ambaye ndo huyo mlala hoi, nnji hii ni maigizo zaidi kuliko ukweli
 
Back
Top Bottom