Ndugulile: Magufuli hajui sheria, anakurupuka tu...

Ndugulile: Magufuli hajui sheria, anakurupuka tu...

Wananchi Mnatakiwa kuchangia kidogo hilo Daraja la Kigamboni, Tunahitaji Waziri kama huyo hatuitaji Mawaziri walaji kama Ngeleja kuchekacheka tu na wananchi
 
uonevu, uonevu nasema huu ni uonevu!!! ferry mbili za kusafirisha watu dar hadi bagamoyo gharama zake zilipwe na wakazi wa kigamboni peke yao????!!!! hizo ferry mbona zitahudumia wakazi wa wilaya ya kinondoni na siyo kigamboni sasa iweje zinunuliwe kwa jasho la wana kigamboni??? Mkuu magufuli umeteleza kubali tu yaishe usitafute visingizio vya kuhalalisha uharo wako!
 
Fares have not increased in 14 years. Show me a country in the world that has not increased bus, taxi, ferry, etc fares in 14 years.

Yet people are still complaining. Everything cannot be decided through democratic means, otherwise nothing will get done or will take years to accomplish.

In this case i have to agree with Magufuli.
 
Hivi karibuni Waziri Magufuli alitoa agizo la kupanda kwa Nauli ya Kivuko cha Kigamboni kutoka sh 100 hadi sh 200.Wananchi wakamzomea badala ya kuomba ufafanuzi wa kupanda kwa nauli husika!Naye kama binadamu akawaambia,asiyeweza kulipa aogelee toka Kigamboni mpaka Magogoni!Kosa lake ni lipi mpaka anashutumiwa?
sio bure! kama wewe sio mpambe wake basi utakuwa 'shushushu'.
 
Haka kajamaa bana, kameuta school mate mwenzake, Kigwa anafaidi publicity kule Nzega, matokeo yake nako kanaanza, tatizo hii ngoma hakajui hata dancing steps zake.
Anasema SUMATRA hawakushirikishwa katika upangaji bei, mbona nako hakajawashirikisha katika malalamiko yao? Tayari SUMATRA wamesema kwa sheria iliyopo si tatizo.
Huko kwa waziri mkuu anakwenda mara ya pili? Si alisema walishaenda na akaamuru nauli ibaki ile ile ? Mbona ilipanda? Sasa hivi anaenda kufanya nini?
Yeye kama mbunge, ameshakubaliana na ule mradi wa Kiamboni, na kwa mradi ni lazima maisha ya kule yawe ghali kuliko Mtwara ili waananchi wakimbie wenyewe.
Na later mwaka huu, kile Kivuko kitakabidhiwa kwa kampuni binafsi wakiendeshe na mbunge anajua ila anatuchezea akili tu sasa hivi,hapo akili ndiyo zitaturudia.
Suala la daraja litakuwa tayari baada ya mkakati wa sisi kuikimbia Kigamboni kwa hiari kukwepa gharama za maisha kukamilika.
Kwa hali ya sasa naunga mkono ongezeko jipya na lolote lile lijalo.
 
Una hakika wale kina mama hawamudu kulipa hizo shilling mia mbili? Tusidanganyane hapa kwamba baada ya kusema ujamaa hauna leo hii tuendelee kuendesha baadhi ya mambo kwa ujamaa wakati tumezama kwenye ubepari uliopitiliza.
hujajibu swali/hoja yangu..mbona mombasa watu wanavushwa bure?au wewe mfanyakazi kwenye kivuko
 
Wewe unadharu kazi za watu!, wewe unadharau kipato cha mwendesha Guta na mkaanga samaki?!, FYI hawa vipato vyao ni zaidi ya watumishi wa serikali so wanatakiwa kichangia gharama za huduma wanazozipata.
you are so evil man..mombasa watu wanavushwa bure..kwa nini hutaki kuchangia kwenye hiyo hoja?
 
Unajua ukishakuwa umesoma hutakiwi kukurupuka huyu bwana amekurupuka halafu anatoa ulinganifu ambao huwezi kuulinganisha kabisa analinganisha Kigamboni na Kigongo kiumbali wala havilingani au Kamanga na Kigamboni au hata Pangani safari ya dakika tano haiwezi kuwa sawa na safari ya dakika arobaini na tano au saa moja na nusu.
Nafikiri huyu bingwa amesifiwa sana sasa amepitiliza hata kwake kwa spidi alizo nazo mimi nalia na wakazi wa Kigamboni haya matatizo wanayaandaa wenyewe tangu mwaka wa uchaguzi walitaka kupandisha hizo bei ila wakaona watakosa kura waktulia uchaguzi upite kiukweli hakuna kiongozi wa CCM anaehurumia watu wake kauli za Magufuli wameshatoa wana-CCM wengi ingawa wamekiona cha moto lakini ujumbe umefika.
Sasa wakazi wa Kigamboni mtafakari mbunge wenu yupo kimya ana-forum ya kuitisha mkutano na nyinyi mjadili ametulia anazungumza kwenye vyombo vya habari wakati tayari mnaumia jipangeni wakati ni huu kuna kijana anakuja kugombea ili awaokoe na huu unyonyaji na udhalilishaji tunajua bei haitashuka ila haitakiwi ipande mbona Kenya wenzetu wanaweza kuvusha watu wao bure pale Likoni na wala hakuna kudhalilishana wanajeshi kupiga watu au polisi kukunja watu?
 
Imetokea mafuriko watu wanakufa hovyo.....HATUJAWASIKIA MKISEMA LOLOTE
Mmeongezewa posho kimyakimya bungeni kutoka 70 elf hadi kilo 2....HATUJAWASIKIA MKISEMA LOLOTE
Nauli ya Kigamboni kuongezwa toka 100 hadi 200......IMEKUWA NONGWA KILA MMOJA ANAUZA SURA KWENYE LUNINGA

Acheni maneno ya mikahawani na uvivu wa kufikiri mwacheni jamaa aendeleze mkoa wenu
 
Kabisa, kama mimi na usongo na mbunge wa ubungo, yaani bure kabisaa!
 
kosa lake ni kama lako kutoona kuwa kuna watu cant afford 200 especially wale mama wauza samaki feri,matunda n.k,wasukuma mikokoteni na wengine wengi..simply because you can afford 200 doesnt mean everyone can.By the way mombasa watu wanavushwa bure..i said it and i say it again..magufuli kapewa mlungula pale

wewe unaongea bila kuwa na data kamili. Kwani umesikia imeongezeka mia peke yake. vifurushi,magari, baisikeli na piki piki mbona hujaweka hapo kwenye post yako. Utafiti juu ya ufanisi wa menejimenti ya kivuko kwenye mapato mbona huja iongelea? kuwa na full info ndio ulete, wananchi wote na mbuge wao hawawezi kuwa wajinga halafu wewe ndo ukawa na akili... kama hujui lolote kaa kimya...
 
DSM ni uchafu, mabarabara mabov, foleni kila uendako.Wabunge watoe ufumbuz wa haya sio kulalamika na kudandia hoja nyepesinyepesi zisizo na tija.
 
sorry maandamano, I mean't

Hivi karibuni Waziri Magufuli alitoa agizo la kupanda kwa Nauli ya Kivuko cha Kigamboni kutoka sh 100 hadi sh 200.Wananchi wakamzomea badala ya kuomba ufafanuzi wa kupanda kwa nauli husika!Naye kama binadamu akawaambia,asiyeweza kulipa aogelee toka Kigamboni mpaka Magogoni!Kosa lake ni lipi mpaka anashutumiwa?

wewe unaongea bila kuwa na data kamili. Kwani umesikia imeongezeka mia peke yake. vifurushi,magari, baisikeli na piki piki mbona hujaweka hapo kwenye post yako. Utafiti juu ya ufanisi wa menejimenti ya kivuko kwenye mapato mbona huja iongelea? kuwa na full info ndio ulete, wananchi wote na mbuge wao hawawezi kuwa wajinga halafu wewe ndo ukawa na akili... kama hujui lolote kaa kimya...
 
Hawa wabunge wanapaswa kuzomewa kila waendako- ama kwa hakika wanafikiria kwa kutumia downstairs a.k.a "masaburi", ni bunge tu lililopita ambapo mmoja alitetea wanaoishi mabondeni, walimpinga hadharani Meya wao ktk juhudi zake za kuboresha investment za jiji lakini hawakupeendekeza solutions, juu ya nauli za kivuko wanajitapa kwenda kumshitaki Pombe kwa kiranja wake as if ni maamuzi ya pombe mwenyewe na si maamuzi ya serikali- wanatumia hadhara hii kupiga kampeni. Shame upon them.
 
kosa lake ni ile kauli ya kijeuri, kama kiongozi huwezi toa kauli ya kebehi!
 
Kosa la Mzee Pombe ni kusema ukweli. Waswahili tunapenda kudanganywa!
 
Wewe unadharu kazi za watu!, wewe unadharau kipato cha mwendesha Guta na mkaanga samaki?!, FYI hawa vipato vyao ni zaidi ya watumishi wa serikali so wanatakiwa kichangia gharama za huduma wanazozipata.
Point...
 
Back
Top Bottom