dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,907
- 8,246
Hii namba mbili mbona sioni kama ina mantiki huwani watu na roho zao tu kwani mtu akila na wewe ukifunga kuna shida gani?1)Inawezekana huyo alikua anamtafutia sababu toka mda tu..
2)Inawezekana huyo mgeni siyo mfungaji kwahiyo ostazi hataki aone mtu anakula mbele yake kipindi yeye amefunga
HahahahaaaaaIt is obvious kuwa jamaa alikuwa anamnyandua huyo dada na sasa mwezi umefika hataki kuharibu funga yake kwa kufanya zinaa.
Hakuna zaidi ya hapo!