Amri Kuu ni Upendo. Kwaresma Hii na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Watanzania Tupendane, Tuonyeshane Upendo Kama TotalEnergies Inavyofanya

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,498
113,601
Wanabodi,

Hii ni Makala ya Kwa Maslahi ya Taifa NIpashe ya leo.

Screen Shot 2023-02-26 at 8.14.28 AM.png
Screen Shot 2023-02-26 at 8.15.15 AM.png

Safu ya Kwa Maslahi ya Taifa, inazungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, kwa vile sasa tumeingia kipindi cha Kwaresma, mfungo wa siku 40 kwa ndugu zetu Wakristo na mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani unatarajiwa kuanza mwezi ujao, leo nimeona nizungumzie kidogo kuhusu upendo, kupendana kwa dhati, na kuonyesha upendo kwa vitendo.

Japo Mungu alitoa Amri Kumi za Mungu, na kumpa Nabii Musa kule kwenye mlima Jangwa la Sinai, amri hizi hazifanani, amri kuu kuliko zote ni Upendo. "Mpende Bwana Mungu wako kwa akili zako zote, kwa nguvu zako zote na uwezo wako wote, mpende na jirani yako kama nafsi yako" hivyo kipindi hiki cha Kwaresma, na mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaokuja Watanzania Tupendane. Tena sio tuu tupendane, bali tuonyeshane upendo wa dhati na sio upendo wa maneno "nakupenda" bali upendo wa matendo ya kuonyesha upendo!.

Kabla sijaendelea na makala hii, ningeomba sisi Watanzania wote, wakiwemo viongozi wetu wote, serikali yetu, vyama vyetu, taasisi zetu, mashirika yeti, makampuni yetu, viwanda vyetu, vikubwa vya uzalishaji bidhaa kwa machine, hadi viwanda vidogo vya Mama Ntilie vya kusukuma chapati, maandazi na vitumbua, kuiga kitu kinachofanywa na Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies kila mwaka siku ya sikukuu ya wapendanao, Valentine's Day, TotalEnergies huonyesha upendo kwa vitendo kwa wateja wake wanaofika kujaza mafuta kwenye vituo vyake kwa upendo wa vitendo na sio upendo wa maneno!

Kila Valentine's Day, TotalEnergies hutoa zawadi za aina mbalimbali kwa wateja wake kuanzia kupunguza bei ya mafuta yake kwa punguzo maalum la siku ya wapendanao, na hugawa zawadi maalum ya kuonyeshea upendo iwe ni ua jekundu la Waridi, na kutoa zawadi za chokoleti zikiandama na bahati nasibu ya mteja mwenye bahati kupewa zawadi yoyote ikiwemo offers ya kula mlo wa jioni wa yeye na mwenzi wake kwenye hoteli ya nyota tano.

Hiki kitu kinachofanywa na TotalEnergies kila mwaka, japo kwa jicho la juu juu ni kitu kidogo, ukilinganisha thamani ya zawadi hizo na ukubwa wa kampuni lenyewe la TotalEnergies kwa hapa Tanzania ndio kampuni kubwa kuliko zote za mafuta yenye vituo zaidi ya 100 vilivyotapakaa nchi nzima na mafuta ya TotalEnergies ndio mafuta bora kabisa kuliko mafuta ya vituo vingine vyote, kutokana na mafuta ya TotalEnergies kuongezwa kiambata cha exellium chenye kimeng'enyo kinachosafisha injini ya gari yako kutumia mafuta kidogo na kutoa moshi kidogo hivyo kudumisha gari lako huku likitoa Moshi kidogo ambao ni rafiki wa mazingira.

Sasa ukiliangalia li kampuni la TotalEnergies lilivyo kubwa na zawadi zinazotelwa zilivyo ndogo, unaweza kuziona hizo zawadi kama ni vizawadi tuu!, kiukweli umuhimu wa hizo zawadi sio thamani ya zawadi zenyewe bali upendo unaotokana tendo la kuonyesha upendo kwa vitendo na sio kwa maneno matupu ya "nakupenda".

Upendo wa kweli haupimwi kwa thamani ya zawadi bali kwa matendo ya kuuonyeshea ndio maana wenzetu wazungu mtu kuonyeshwa upendo kwa kupigwa busu, kupewa zawadi ya ua au kadi ya Valentine's kwao upendo huo una thamani kubwa kuliko hata akipewa fedha milioni!. Japo upendo wa Kiafrikaĺ, upendo wa Kiafrika kutokana na umasikini ulio tope, ili mtu ajione anapendwa ni akipewa fedha!, sio busu, sio ua, sio kadi.

Umuhimu wa upendo ni upendo huo uwe ni upendo wa dhati wa kutoka moyoni na kuonyeshea kwa vitendo, ndio maana nimesema kinachofanywa na TotalEnergies kiigwe na wote.

Sasa turejee kwenye ile amri yetu Kuu ya Mungu ya upendo alitopewa Musa. Japo duniani tuna dini mbali mbali na madhehebu mbalimbali lakini Mungu ni mmoja tuu kwa dini zote na kwa dini kuu mbili za Wakristo na Waislamu, sii wote wanafahamu Mungu wa Wakristo na Waislamu ni Mungu mmoja na amri za Mungu kwa dini zote mbili ni amri moja za Musa na Wakristo na Waislamu ni watoto wa baba mmoja Nabii Ibrahim.

Ibrahim na mkewe Sarah, hawakujaaliwa kupata mtoto mpaka wanazeeka, hivyo Sarah akamuomba mjakazi wake wa Kimisri Hagir , kumpatia uzao Ibrahim, hivyo mtoto wa kwanza wa Ibrahim aitwa Ismail ndio uzao wa Waislamu mpaka Mtume Mohamed (SAW) na baadaye Sarah akajaaliwa mtoto Isaka ambaye ndie uzao Wakristo mpaka Yesu aitwae Kristo, hivyo amri Kuu ya Mungu ya upendo ni ya wote.

Kwenye Kwaresma hii na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Watanzania sio tuu tupendane bali tuonyeshane upendo wa kweli, wa ishara na matendo ya upendo wa dhati kwa kumpenda jirani yako kama nafsi yako.

Jee jirani yako ni nani?. Jirani yako ni mtu anayekuhusu aliye karibu na wewe, jirani wa TotalEnergies ni wateja wake, jirani wa jirani wa serikali ni wananchi, jirani wa viongozi ni wanao waongoza, jirani wa CCM ni vyama vya upinzani, jirani wa mfanya biashara yoyote ni wateja wake.

Kama kila Mtanzania, serikali, kila kiongozi, kila taasisi na kila mtu atampenda jirani yake kwa upendo wa dhati na kuuonyesha upendo huo kwa matendo, Tanzania yote itakuwa imekaa upendo wa ajabu, mtashangaa hata vitendo vya uhalifu vitapungua!, wafayabiashara hawatapandisha bei ya vyakula mwezi mtukufu, vyama vya siasa CCM na Wapinzani watapendana na kuoyesha upendo, tutaijenga Tanzania njema yeye upendo, amani, utulivu, usikilizano, maelewano na kupata maendeleo ya kweli na maendeleo endelevu.

Paskal
 
Wanabodi
Hii ni Makala ya Kwa Maslahi ya Taifa NIpashe ya leo.
View attachment 2530240View attachment 2530241

Asante Mtumishi wa Mungu
 
Upendo wa kweli hauwezi kumjia mtu pasipo kuyaexperience maumivu yatokanayo na kero za wanadamu.

Mtu huyo kama akiweza kuyamudu/ kuyastahimili maumivu hayo , basi hapo ndipo upendo humjia na kuuzunguka mwili wake.

Note: Marafiki wa Upendo ni Neema, Nguvu, Utukufu na Ufalme.

Bwana Wetu Yesu Kristo ni mfano wa kuigwa kwani kwà kupitia maisha yake.... katuonyesha njia ya kweli ya namna bora ya kuishi.
 
Kwenye Kwaresma hii na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Watanzania sio tuu tupendane bali tuonyeshane upendo wa kweli, wa ishara na matendo ya upendo wa dhati kwa kumpenda jirani yako kama nafsi yako.
Nashauri this time tushirikiane, tufunge pamoja Kwaresma then tuhamie Ramadhani
 
Back
Top Bottom