Kumbukumbu ya Mwezi wa Ramadhani 1: Darsa la Tafsiri ya Qur'an la Sheikh Abdallah Iddi Chaurembo

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,404
31,033
DARSA LA TAFSIR YA QUR'AN LA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAREMBO MWEZI WA RAMADHANI MSIKITI WA MTORO MIAKA YA 1970

Hukaa nikaangalia nyuma na ''nostalgia'' yaani simanzi.

Naangalia ujana wangu ulivyoondoka kama moshi na nawakumbuka masheikh wetu waliotangulia mbele ya haki.

Nawaona kama jana vile Mwezi Mtukufu wa Ramadhani baada ya sala ya L' Asr wamekaa mbele ya Sheikh Abdallah Chaurembo kusikiliza tafsiri ya Qur'an Tukufu ndani ya Msikiti wa Sheikh Mtoro Mwinyi Mangara.

Nathubutu kusema kuwa hili ndilo darsa pekee ambalo baada ya kufariki Sheikh Chaurembo sijaona tena darsa katika msikiti wowote hapa Dar es Salaam ambao masheikh wanajumuika kumsikiliza sheikh mwenzao anatafsir Qur'an.

Madaris yapo mengi hasa Mwezi wa Ramadhani lakini wasomaji na wasikilizaji ni waumini wa kawaida.

Iweje masheikh waje kumsikiliza sheikh mwenzao na katika hawa wako masheikh ambao walisomeshwa pamoja na Sheikh Chaurembo katika madrasa ya Bingwa wa Mabingwa wa Tafsir, Mufti wa Tanganyika kisha Tanzania, Sheikh Hassan bin Ameir.

Naam; na kwa nini wasije?

Sheikh Abdallah Chaurembo alikuwa ndiye mwanafunzi mkubwa kushinda wote wa Sheikh Hassan bin Ameir.

Msemaji amesema Sheikh Chaurembo hakumbakishia mwalimu wake chochote anaitafsir Qur'an kama alivyokuwa akitafsir sheikh wake kwa mtindo ule ule na kamuiga mwalimu wake mpaka sauti yake.

Hadi vitu vidogo vidogo katikati ya darsa kaiga, atawauliza wanaomsikiliza, ''Mmefahamu?''

Utulivu uliokuwapo hapo na ule ukimya watu wakimsikiliza Sheikh Chaurembo hauna mfano.

Sauti iliyokuwa ikisikika ni sauti ya mapanga boi yakizunguka...wawawawawa!

Darsa inaendelea na watu wanazidi kuingia msikitini kuja kumsikiliza sheikh waliochelewa wanaunga nyuma.

Huu ulikuwa ule msikiti wa zamani wa Mtoro Mtaa wa Mahiwa na Livingstone ulioanza kama msikiti mdogo wa udongo na leo ni msikiti wa fahari katika misikiti mikubwa nchini.

Namuona Sheikh Ramadhani Abbas, Sheikh Abdulrahman Shamte, Sheikh Kassim Juma, Sheikh Maulid Digila, kwa kuwataja wachache.

Namuona Sheikh Mohamed Khan aliyekuwa na hoteli maarufu Steak Inn mtu mwema na karimu akiwalipa mishahara watu wa dini kwa siri kubwa akitafuta radhi za Allah.

Namuona Sheikh Zubeir Chanzi akimjua baba yangu pale Mtaa wa Kipata toka udogo wao miaka ya 1930 na kila akiniona msikitini ataniadhimisha sana kwa mapenzi na kumkumbuka rafiki yake.

Sheikh Zubeir alikuwa njiwa wa msikiti hapungui hapo miaka nenda miaka rudi.

Darsa inaanza.

Qari atasoma aya chache na Mtoro Mashaallah walikuwapo wasomaji Qur'an wa sifa wenye kiraa cha kumtoa machozi msikilizaji.

Ilikuwa katika darsa hii ya Sheikh Chaurembo ndipo nilipokisikia kisa cha Banu Nadir kwa ukamilifu wake sheikh akikieleza utadhani unaangalia senema.

Sheikh Churembo akisafiri kutoka rejea moja na kuingia nyingine na katika ile nyingine akatoka kaingia nyingine tena wataalamu wanaita, ''reference and cross reference.''

Kilichokuwa kikinishangaza ni kuwa Sheikh Chaurembo alikuwa akitoa hizi rejea nyingi kichwani na mara moja moja utaona anaangalia karatasi yake ya ukurasa mmoja.

Sikuweza kustahamili siku moja nikamuuliza mwanae Iddi Abdallah Chaurembo, ''Kaka Iddi hebu niambie yale yote anayotusomesha sheikh yote yale kahifadhi kichwani?''

Sheikh Chaurembo alikuwa akitueleza pale darsani akisema, ''Sheikh Hassan bin Ameir alikuwa na ibra moja nayo ni kuwa kila anaechukua kitabu kwenda kusoma kwake akili zake si za kawaida.''

Hapa namkumbuka rafiki yangu marehemu Sheikh Manzi wa Msikiti wa Mwinyimkuu, Magomeni.

Siku kama mbili kabla hajafariki tumekutana njiani kama kawaida yetu lazima tusimame angalau dakika tatu tuzungumze.

Kumbe yeye akijua kuwa mimi nampenda Sheikh Hassan bin Ameir.

''Mimi Sheikh Hassan kanisomesha,'' Sheikh Manzi ananieleza.

Jibu langu lilimfurahisha na akacheka.
Nilimwambia kuwa sitoshangaa tena.

Sikuwa na sababu tena ya kushangazwa na ile ilm aliyokuwanayo.

Sikumuona tena Sheikh Manzi baada ya siku ile.

Turejee kwa Banu Nadir.

Hawa Banu Nadir walikuwa Wayahudi na walikula njama na maadui wa Waislam kumpiga vita Mtume SAW.

Nimebahatika mwaka wa 1997 kufika sehemu ambayo hawa Wayahudi waliishi pale Madina na nimeyaona magofu ya nyumba zao.

Sheikh wangu Sheikh Ali bin Abbas akiniliwaza kwa maneno haya, ''Mohamed usisoneneke kuwa hukupata kumsikia Sheikh Hassan bin Ameir akidarsisha, mradi unamsikiliza Sheikh Abdallah Chaurembo ni kama umemsikiliza sheikh mwenyewe.''

Mwaka mmoja Mwezi wa Ramadhani Sheikh Chaurembo akalifahamisha darsa akasema kuwa amemwalika Sheikh Issa Fatawi kutoka Zanzibar aje kufunga darsa la Tafsir ya Qur'an la Mwezi wa Ramadhani.

Sheikh Fatawi alikuwa mwanafunzi mwenzake kwa Sheikh Hassan bin Ameir.

Siku ile Sheikh Fatawi bin Issa alishika darsa akatusomesha kuhitimisha darsa yetu hadi Mfungo Mosi.

Mwisho Sheikh Kassim alisimama na kuzungumza na kusoma dua.

Nilitaka ndugu zangu leo tutabaruku na hawa wazee wetu watu wa kheri waliotangulia mbele ya haki na tuwaombee Allah awalipe Pepo ya Firdaus.

Amin

Picha ya kwanza haihitaji maelezo.
Picha ya pili Sheikh Ali bin Abbas.

Picha ya tatu Sheikh Kassim bin Juma akiwa amezungukwa na waumini wa Msikiti wa Mtoro na msikiti ni huo pembeni kulia.

Picha hii ilipigwa mwaka wa 1993.

Sheikh Hassan bin Ameir alipofariki mwaka wa 1979 nilimwandikia taazia fupi iliyochapwa katika Daily News upande wa barua za wasomaji.

Sheikh Chaurembo alimwalika Mwalimu Nyerere katika khitma yake Msikiti wa Mtoro na alihudhuria.

Mimi nilikuwapo na tulikula chakula ndani ya msikiti na Mwalimu Nyerere.

Sheikh Hassan bin Ameir ni kati ya masheikh walioipa TAA na kisha TANU nguvu na kuwa bega kwa bega na Mwalimu Nyerere katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Sehemu ya pili soma Kumbukumbu ya Ramadhani - Sehemu ya 2
 
Udini tu hakuna kipya

USSR
USSR,
Yapo mapya.

Mwalimu Nyerere na Sheikh Kassim walikuwa marafiki wakubwa wakati Nyerere yuko madarakani.

Maelewano haya yalikuja kuharibika Ali Hassan Mwinyi alipokuwa Rais.

Haya ni mapya na yana historia ya kusisimua.

In Shaa Allah nitaeleza nini kilisababisha.

Haya ni mapya.
 
Mungu akupe maisha marefu tunakufaidi sana sisi vijana ya miaka ya hivi karibuni.......
 
mtueleweshe tu hii dini. Mzee saidi tusaidie, sisi wengine sio waislam, hivi kuna uhusiano gani kati ya uislam na majini? je? majini ni wasafi au wachafu? je kuna majini mazuri na mabaya? je ni kweli majini pia huwa wanamswalia allah? juzi hapa kuha shehe mmoja alieleza maajabu ya msikiti uliojengwa na majini comoro, anasema ni muujiza. pia yupo aliyeeleza namna alivyoyaona majini yakiswali kwa allah msikitini. mtueleweshe sisi wengine ili tujue uzuri wa dini hii, kama upo.
 
Yes...
Mimi sijui kama kuna uhusiano kati ya Uislam na majini.
 
mbona unadanganya wakati upo kwenye mfungo ndugu yangu, au si useme ukweli tu, au hizi siku umedanganya utazifidia?
Yes...
Nifahamishe hicho nilichosema cha uongo.

Lakini hapa wapo Waislam wengi subiri utajibiwa.

Mimi utaalamu na ujuzi wangu ni katika Political History ya Tanganyika.

Hayo ya Uislam kama dini (Doctronaire)yanahitaji masheikh.
 
mtueleweshe tu hii dini. Mzee saidi tusaidie, sisi wengine sio waislam, hivi kuna uhusiano gani kati ya uislam na majini? je? majini ni wasafi au wachafu? je kuna majini mazuri na mabaya? je ni kweli majini pia huwa wanamswalia allah? juzi hapa kuha shehe mmoja alieleza maajabu ya msikiti uliojengwa na majini comoro, anasema ni muujiza. pia yupo aliyeeleza namna alivyoyaona majini yakiswali kwa allah msikitini. mtueleweshe sisi wengine ili tujue uzuri wa dini hii, kama upo.

Mbona kwenye ukristo mumeyaweka mpaka kwenye misalaba ??

1711040077013.jpeg
 
mbona unadanganya wakati upo kwenye mfungo ndugu yangu, au si useme ukweli tu, au hizi siku umedanganya utazifidia?

Alyedanganya ni huyu

Here are the quotes from Jesus that proves that he lied:

1) And Jesus answered and said to them, “Truly I say to you, if you have faith and do not doubt, you will not only do what was done to the fig tree, but even if you say to this mountain, `Be taken up and cast into the sea,’ it will happen. “And all things you ask in prayer, believing, you will receive.” (Matthew 21:21-22 NAS)

2) Ask and it will be given to you; seek and you will find; knock and the door will be opened to you. For everyone who asks, receives; and the one who seeks, finds; and to the one who knocks, the door will be opened. (Matthew 7:7-8 NAB)

3) Again I say to you, that if two of you agree on earth about anything that they may ask, it shall be done for them by My Father who is in heaven. For where two or three have gathered together in My name, I am there in their midst. (Matthew 18:19-20 NAS)

4) Amen, I say to you, whoever says to this mountain, ‘Be lifted up and thrown into the sea,’ and does not doubt in his heart but believes that what he says will happen, it shall be done for him. Therefore I tell you, all that you ask for in prayer, believe that you will receive it and it shall be yours. (Mark 11:24-25 NAB)

5) And I tell you, ask and you will receive; seek and you will find; knock and the door will be opened to you. For everyone who asks, receives; and the one who seeks, finds; and to the one who knocks, the door will be opened. (Luke 11:9-13 NAB)
 
Yesu alisema hayo, ninyi hamuwezi kuyaona kwasababu hamumwamini, na tunashukuru alitoa ahadi hizo, though mood hata ahadi ya kuponya kikohozi au mafua hakutoa kwasababu hana nguvu ya kufanya lolote. tofauti na Yesu ambaye hata sasa ukitaja Jina lake tu majini yenu yanatimka mbio.
 
Tulia dawa ikuingie hatutaki injili ya kanisa lako

Yesu akamwambia mwizi mmoja aliyekuwa pamoja naye msalabani: “Amin, nakuambia leo hii utakuwa pamoja nami peponi.” (Luka 23:43).

Aya hii inaonesha kwamba siku ya kusema habari hii Bwana Yesu Kristo na huyu mwizi wangeenda peponi kwa Baba lakini inaonekana kwamba utabiri huu haukutimia, maana baada ya siku ya tatu Yesu bado alikuwa duniani.

Biblia inasema kwamba Yesu alimwambia, usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.” (Yohana 20:17).
 
kwani peponi wanaenda na mwili huu wa nyama ndugu yangu? mbona mnakuwa wagumu sana kuelewa? 1 PETRO 3:18 18Kwa maana Kristo naye aliteswa mara moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio haki, ili atulete kwa Mungu; mwili wake akauawa, bali roho yake akahuishwa, 19ambayo kwa hiyo aliwaendea roho waliokaa kifungoni, akawahubiri; 20watu wasiotii hapo zamani,

HATA HIVYO, Yesu alisema atakufa na siku ya tatu atafufuka. ninyi hamuwezi kulijua hili kwasababu yule mhuni aliyeleta ugaidi duniani bado ameoza ardhini hakufufuka.
 
Huyo aliyeandika 1 Petro3:18 , hayo aliyoyaandika ya Yesu kuteswa na kuuawa, aliyaona wapi ??

Mark 14: 50

Ndipo wanafunzi wake wote wakamwacha, wakakimbia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom