Ndugai atangazwe adui wa Taifa?

Ndugai atangazwe adui wa Taifa?

M
Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .

Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .

Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .

Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Maadui hao watatu bado mmekwama na bado mnataka maadui wengine? Uadui maana yake nini?
 
Haijawahi kutokea mtu individual akatangazwa kuwa adui wa Taifa, mimi ninachokijua miongoni mwa maadui wa Taifa ni ufisadi ambao sasa hivi Chadema wanaukumbatia na kuutetea kama Sera ya Chama. Yaani kwa slogan hii " MAFISADI KWANZA, UTAIFA BAADAE".
Ufisadi umeletwa na nani? Sijuia akili yako inafikilia nini, maana bila mtu hakuna chochote kinachofanyika. Sasa nikuambie kitu, alitangazwa Mandera kuwa gaidi, unapinga nini kutangazwa Ngugai kuwa adui namba moja wa Tanzania.
 
Sio huyo mgonjwa wa akili tu ila wana Lumumba wote wa chama cha maharamia (ccm) ni adui wa taifa hili.
 
Mimi kila mwanaccm na wanaosapoti ccm wote ni maadui wa taifa
 
Pilikapilika ndani ya Bunge tangu Bunge Maalum la Katiba (BMK) zinaendelea kwa staili mbali mbali!
 
Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .

Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .

Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .

Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .

Mkitazama mbele Magufuli anazidi kuchanja mbuga, mkigeuka nyuma Job Ndugai, kushoto Dr. Tulia Ackson, kulia wananchi hawasapoti tena ujinga wenu. Lazima mtage tu mtake msitake😀😀😀😀
 
Hivi ile mahakama ipo???
Mahakama ya Mafisadi ipo njiani soon tena naskia kuna Mwanasiasa Maarufu anatarajiwa kukata utepe kutokana na Ufisadi wake uliotamalaki.

Lakini nakukumbusha usiwe unasahau kijinga hivyo. Hiyo ahadi ilitolewa 2015 na hadi sasa ni miaka miwili ya utekelezaji wa ahadi mbalimbali, usiwe na pupa...wewe tuliza mshono usije kuutonesha bado mapema.
 
Ufisadi umeletwa na nani? Sijuia akili yako inafikilia nini, maana bila mtu hakuna chochote kinachofanyika. Sasa nikuambie kitu, alitangazwa Mandera kuwa gaidi, unapinga nini kutangazwa Ngugai kuwa adui namba moja wa Tanzania.
Mamlaka gani inayotangaza?
Unafananisha Mandela Vs Apartheid/Makaburu na ishu ya Ya Ndugai vs Mdee/Mnyika na Bulaya?
Yaani unalinganisha Mwanamapinduzi na Wachumia Tumbo? Uwe unajenga tabia ya kurudia kusoma ulichoandika kabla ya kupost.
 
Mahakama ya Mafisadi ipo njiani soon tena naskia kuna Mwanasiasa Maarufu anatarajiwa kukata utepe kutokana na Ufisadi wake uliotamalaki.

Lakini nakukumbusha usiwe unasahau kijinga hivyo. Hiyo ahadi ilitolewa 2015 na hadi sasa ni miaka miwili ya utekelezaji wa ahadi mbalimbali, usiwe na pupa...wewe tuliza mshono usije kuutonesha bado mapema.
Acha mbwembwe usilete mahaba ya nyau, hayo mambo yote yamefanywa na ccm leo mnataka kuuhadaa umma wa watanzania. Subilini muone, jua halitazama mambo yote yatakuwa hadharani.
 
Haijawahi kutokea mtu individual akatangazwa kuwa adui wa Taifa, mimi ninachokijua miongoni mwa maadui wa Taifa ni ufisadi ambao sasa hivi Chadema wanaukumbatia na kuutetea kama Sera ya Chama. Yaani kwa slogan hii " MAFISADI KWANZA, UTAIFA BAADAE".
akili nyingine buana, kwani lowasa mnavyomuandana sio mtu individual?
 
Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .

Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .

Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .

Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Vipi zoezi lenu la kususia vodacom?
 
huyu mtu aliwachochea walinzi wamfanyie fujo mnyika,ana jazba na hafai kuwa kwenye kiti
Jazba Jazba tu, angekuwa hakimu angesema Wachinjwe. Angekuwa ana wadhifa wa juu nchi hii angewaweka kizuizini eti kadharauliwa! Spika Mjeshi.
 
Huyo Bulai mzee wa kupiga bakora wagombea wenzake, hastahili hata kuongoza kikao cha shina.....

Sasa atawezaje kuongoza mhimili kama wa Bunge?
 
Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .

Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .

Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .

Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Aanze Lissu kwanza kwakuwatetea wezi wa madini yetu
 
Back
Top Bottom