Ndugai atangazwe adui wa Taifa?

Ndugai atangazwe adui wa Taifa?

So far tumeshaona rais kimeo, spika kimeo,
Tusubiri tuone jaji mkuu atakuwaje

Upendo ni tiba.
 
Maajabu ya kuonekana kwa barua ya Lipumba ya kufukuza wabunge halali wa cuf Ndugai akiwa Nje ya nchi , na kutoonekana kwa barua ya kujiuzulu Nyalandu Ndugai akiwa nchini !
 
Walizoe kuongoza Baba zetu kwa mazoea sasa wamebaki na kuongoza kwa jeuri ambao ndo mwisho wa akili zao walizobakia nazo.

Mwisho wa jeuri ni janga la taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa zinadokeza kwamba Ndugai ndiye Mwanaccm aliyeumia sana kuliko wote kuona Nyalandu akijiuzulu kwa amani , wakati yeye ALITAKA KUUA MTU kwa sababu za ubunge .
 
Taarifa zinadokeza kwamba Ndugai ndiye Mwanaccm aliyeumia sana kuliko wote kuona Nyalandu akijiuzulu kwa amani , wakati yeye ALITAKA KUUA MTU kwa sababu za ubunge .
Kama kweli kuna wengine wako njia kuondoka ina maana tutaumia sana ktk changu ccm
 
Jiandae tu
Hatuna ujanja kwani alilodhamiria binadamu ndilo jibu lake. Lakini kila zama na kitabu chake kwa hiyo kuondoka kwao ina bidi kwani Wabunge wengi wanawasiwasi na wakuu wa mikoa na wilaya kuwa ndo watakao gombea hayo majimbo. Ndo maana wabunge wengi wanahofia kasi ya hawa watiifu ambao ndio watakao iasisi ccm mpya ili kuua kabisa ccm wanamtandao.
Na wanamtandao wasipokuwa makini ngoma ni ngumu lakini hapa ndo mahali pazuri pa kuchanganya karata zao vizuri na ili wafanikiwe ni kudai katiba mpya ili tufungwe spidi gavana pasipo kujiendea kwa kauli za watu.
 
barabara za Arusha zinatengenezwa lakini ukimsifu mbuge wa Arusha kuhusu barabara unaambiwa hafanyi lolote, daraja likibomoka Arusha unaambiwa ni Lema
 
Si ndo huyu alimtwanga gongo mpinzani wake kwenye kura za maoni? Atakuwa adui no.4 baada ya wale wanaojulikana.
 
Back
Top Bottom