Ndugai atangazwe adui wa Taifa?

Ndugai atangazwe adui wa Taifa?

Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .

Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .

Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .

Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Tunakusikiriza tangaza halafu tuambie baada ya kutangaza kitafuata nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adui wa WABUNGE ni Adui wa Wapiga Kura
Adui wa WAPIGA KURA ni Adui wa WANANCHI,
Adui wa Wananchi ni ADUI WA TAIFA.
Ajitathmini kama viatu vya kuongoza Bunge kama vingali vinamtosha!
Akimaliza wabunge wa vyama vingine wako kina Bashe hatawaacha salama...
ama ni mbinu alizopewa maelekezo, wabunge wamgomee awatoe bungeni, washughulikiwe na wale kina ndiyoooo wapitishe sheria zinatotakiwa kupita hata kama hazifai
 
huyu mtu aliwachochea walinzi wamfanyie fujo mnyika,ana jazba na hafai kuwa kwenye kiti
Na leo nimemsikia akijisifu kuwa yuko vizuri up stairs huyu ni mjivuni watu ndio watakusifia na sio yeye aanze kujisifia hovyo kabisa.
 
Maagizo toka juu....dili nao bungeni ntadili nao nje ya bunge...MTAKATIFU WA JUU KESHA DILI NA LISSU NJE YA BUNGE sasa kazi kwake kidudumtu ndugai
 
Spika anawaminya wabunge. Amesahau kuwa in bunge la vyama vingi. Kukosolewa sio kutukanwa. Anapotishia kumfungia zito Je wabunge woote waamue kuingia bungeni halafu wanyamaze kimyaaa. Ataendeshaje hilo bunge ?
 
huyu mtu aliwachochea walinzi wamfanyie fujo mnyika,ana jazba na hafai kuwa kwenye kiti
c yeye tu watawala wa juu nchini safarii hii wote wanajazba.hawajazoea kuwa under pressure
 
Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .

Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .

Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .

Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
You never cease to amaze me!
 
Back
Top Bottom