Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Ikibidi tufanye hivyo
Hii picha watu wa ccm wanatamani ifutike kudadeki !Yuko kwenye dozi mwacheView attachment 622536
Barabara zikijengwa siyo za lema , lakini zikibomoka ni za Lema ! Kwi! Kwi! Kwi!barabara za Arusha zinatengenezwa lakini ukimsifu mbuge wa Arusha kuhusu barabara unaambiwa hafanyi lolote, daraja likibomoka Arusha unaambiwa ni Lema