Ndugai atangazwe adui wa Taifa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
72,865
2,000
Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .

Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .

Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .

Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
 
Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,039

Mhh,hili la TBC, umenichekesha katikati ya huzuni.
 
mbandeon

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
1,250
1,500
Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .

Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .

Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .

Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Na wewe utangazwe nani ? mchochezi wa kimataifa..
 
Haludzedzele

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
1,427
1,500
Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .

Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .

Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .

Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Tena sio adui tuu ni adui namba moja wa demokrasia
 
pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
10,388
2,000
Hivi alichokuwa anaumwa amepona kweli? Tunaweza kumlaumu kumbe bado afya yake hairuhusu kukalia hicho kiti. ndio maana maamuzi yake sio ya mtu aliye na SIHA njema.
 
the glassroof

JF-Expert Member
Apr 25, 2017
247
500
Me siwezi kupigia chapuo wabunge wa kambi yoyote, tena kwa mawazo yangu bora bunge lote lifilie mbali.

Ni kama nawaona wanacheza upatu tu, wanakula kodi zetu kwa asilimia kubwa sana na eti baada ya miaka 5 wanajistaafisha na kujipa mafao lukuki bila hata chembe ya aibu.

Wakati watumishi kada nyingine hakuna fao la kujitoa. Hawana msaada wowote, si kijani wala kaki wote ni hopeless kabisa.

Eti wanawakilisha wanachi, kwa uwiano gani uliopo kati yao na sisi makapuku.

Me sipendi unafiki kama mleta post, tujiangaikieni tu wenyewe hatuna wawakilishi ila wanajiwakilisha wao na familia zao.
 
Cannibal OX

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
2,719
2,000
Haijawahi kutokea mtu individual akatangazwa kuwa adui wa Taifa, mimi ninachokijua miongoni mwa maadui wa Taifa ni ufisadi ambao sasa hivi Chadema wanaukumbatia na kuutetea kama Sera ya Chama. Yaani kwa slogan hii " MAFISADI KWANZA, UTAIFA BAADAE".
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,387
2,000
Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .

Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .

Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .

Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Naona achukuliwe kama GAIDI kabisa maana anataka tuanze kupigana wenyewe kwa wenyewe
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,059
2,000
Chadema bana mlimuita luwasa adui leo kanunua chama bei chee mnamuita baba wa taifa wa chadema.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
72,865
2,000
Me siwezi kupigia chapuo wabunge wa kambi yoyote, tena kwa mawazo yangu bora bunge lote lifilie mbali.

Ni kama nawaona wanacheza upatu tu, wanakula kodi zetu kwa asilimia kubwa sana na eti baada ya miaka 5 wanajistaafisha na kujipa mafao lukuki bila hata chembe ya aibu.

Wakati watumishi kada nyingine hakuna fao la kujitoa. Hawana msaada wowote, si kijani wala kaki wote ni hopeless kabisa.

Eti wanawakilisha wanachi, kwa uwiano gani uliopo kati yao na sisi makapuku.

Me sipendi unafiki kama mleta post, tujiangaikieni tu wenyewe hatuna wawakilishi ila wanajiwakilisha wao na familia zao.
Usipuuzie mkuu , hawa ndio policy makers , sasa wanaweza hata kupiga marufuku hicho kilimo chako cha mchicha , ni lazima uwafuatilie .

Si umeona huko Musoma , shamba lako likiwa na madini unanyang'anywa tena kwa mtutu wa bunduki , lakini shamba hilohilo likiwa na bangi unamilikishwa kinguvu na kukamatwa !
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
72,865
2,000
Haijawahi kutokea mtu individual akatangazwa kuwa adui wa Taifa, mimi ninachokijua miongoni mwa maadui wa Taifa ni ufisadi ambao sasa hivi Chadema wanaukumbatia na kuutetea kama Sera ya Chama. Yaani kwa slogan hii " MAFISADI KWANZA, UTAIFA BAADAE".
Hoja yako ni muflisi .
 
Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
2,219
2,000
Kwanza nafikiri Mh Yule apimwe afya ya akili.

Haiwezekani kuwafukuza wahudumu wa Bunge eti hawakutumia excessive force kumtoa mbunge

Lakini kama haitoshi amewatoa wabunge bila kusema kosa ni lipi na linaadhibiwa kwa kifungu kipi cha kanuni ya adhabu.
na kujiapiza

Pia chanzo cha commotions zote hizi ni yeye mwenyewe kuomba amwajibishe aliyemtukana Mnyika.

Wazo langu: Mh Yule apimwe afya ya akili maana kuna matukio mengi yaonesha kuna wakati anapata tatizo la akili kumbuka wakati wa uchaguzi kuna mgombea alipigwa bakora mpaka akazimia
 
Duh! Eeee bhana eeeee !!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom