Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,073
- 27,318
- Thread starter
- #61
Ndio mimiAnakua kuelekea wapi wakati huyu ni mtu mzima mwenzako sio Gen Z
Ukishindwa kuishi nao kwasababu hauna mental capacity ya kuhimili emotional maturity alivyo nayo.Tafuta uzoefu wa watu walioishi abroad au ambao wapo abroad, watakupa ukweli wa mtu mweupe. Wengine tulibahatika kuishi nao kidogo, tabia zao na akili zao ni ngumu kuziishi.
Ila kama unaweza unajiamini na unajitosheleza jaribu.
Hata hivyo karibu tena, naona ni jf ni kama vile upo ugenini, kila siku unaaga unaondoka, wenye nyumba wanaomba kila siku uondoke maana unawatia hasara tu, ila huondoki.
Na ukaona urudi kwa hao hao vichomi maana that's where you truly belong. Kupigana matukio na kuviziana mmoja ajichanganye