Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 13,988
- 27,121
Kumbe kuwa na wimbi la vijana kuwa pressured kuoa.
Ukisha fika in your late 20s na early 30s kuna kuwa kama kunakijicho fulani kinakukodolea, utaoa lini?
Mmi ndo namalizia my 20s ila ndo kama hata sifikirii kabisa, na siwazi sasa sijui si angalii reality inapaswa kuonwa?
Je, ndugu zangu naona umri gani ni mwafaka kuoa, ambao ni mzuri for the betterment of both wanandoa.
Kingine, age gap kati ya mwanaume na mwanamke, mfano ukimzidi mwanamke miaka mingapi inakuwa kero, au yeye akikuzidi mingapi inakuwa shida?
Mimi naonaga maisha kama sio checklist, ya kwamba ukifuata society's way unaweza kupotea pia.
Kuna vijana age mates wangu anavuta majiko kama hawana akili, yaani kama trendi, ila mm ndo hata tayari wenyewe sina kabisa.
Wakubwa zetu Naombeni ushauri mzuri.
Ijumaa njema kwenu.