Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,912
Reaction score
28,655
Sio kwa nia mbaya,

Yaani mwanamke wa kibongo(average one) anacho offer mara nyingi ni ngono tu.. Kinacho weka mahusiano sio ngonopekee bali ni mutual love and responsibilities.

Si semi kubeza watu ama kuanzisha makundi ya ku bully watu,

Ila naongelea uhalisia uliopo nje na tumeweza ku experience tulio wengi.

Ni kwanini wanawake wa kibongo wanakinai mapema, yaani sijui niseme je ili mnielewe.

Unaweza kuleta pisi ndani ukaioa ila ukashangaa umeshaichoka na kutaka ukachaoe nyingine

Hawana kabisa craetivtiy kusema kwamba leo nimfanyie surprise baba fulani, kila siku yeye ndo umfanyie surprise.

Ndo maana watu Wanachepuka kila kukicha. Mimi naona utamaduni wa kiafrica umefanya mwanamke awe gugu maji, yaani awe mtu wa kupeleka na upepo tu na asiweze kuwa na maamuzi yake katika ndoa.. Wanawake wapo wapo tu.. Sisemi kuwabeza wala kuwaongelea vibaya.

Ni mtazamo wangu tu ndugu zangu, au mnasemaje?

Wanawake wanachokwa mapema kwasababu wanawake wengi hawana vya kwao, wanataka hata kama ana kazi awe yeye tu ndo wa kupewa kila kitu, na bado kitandani ajilaze kama gogo.

Ndo maana watu Wanachepuka, maana mtu mwishowe anachoka.
 
Mali yako si ingekaa kiunoni kwako..!! 😹

Watu wasifanye utalii wa Ndani wakuendekeze wewe??
Kwani tulivyo fungua oingu za maisha tulimaanisha nini?

Je wewe bwana ako akichepuka utaona sawa tu? Mnafanya kama usaliti ni kitu cha kawaida a kwasababu hamna thamani tena na mmesha chezea ujana wenu, na sasa ni nyie ndo wa kuharibu ndoa za watu?
 
Kwani tulivyo fungua oingu za maisha tulimaanisha nini?

Je wewe bwana ako akichepuka utaona sawa tu? Mnafanya kama usaliti ni kitu cha kawaida a kwasababu hamna thamani tena na mmesha chezea ujana wenu, na sasa ni nyie ndo wa kuharibu ndoa za watu?
Pingu za maisha ndo zilifunga na mbususu? 😹

Acha watu wakacheze mechi za nje..

Ili timu iwe bora inahitaji vikombe vingi vya ugenini..!!
 
Back
Top Bottom