Nchi hii imepitia madhira makubwa sana. Eti na hawa ni viongozi wa dini

Kwenye Corona JPM alifanya vizuri sana. Kwenye ule ugonjwa alijitahidi kutosikiliza makelele ya mtu mpuuzi kama Lema kutaka lockdown nchi nzima. JPM tumlaumu mambo mengine yote ila sio kwenye sakata la corona
 
Hata wakikosea namna gani, lakini kuwstukana ama kuwadhalilisha maaskofu au masheikh ni kujipelekea moto mwenyewe.

Waache watahukumiwa na kuumbuliwa na Mungu.

Hivi wewe kijana huna kosa kabisa hapa Duniani?
Kama huna basi una haki ya ku judge watu na nakutakia heri katika maisha!
 
Kuhusu Musiba huyu bwana kuna wakati mdai wake alimtaka amuombe radhi kama sikosei aligoma.Maaskofu lazima wamtetee ndiyo kazi yao ningeshangaa kama askofu atasema kinyume hata mimi nashauri amsamehe kama atajutia kosa lake na kuomba msamaha.Kwa hali ya kawaida hata nani hawezi kupata hiyo hela na kwa utaratibu wa madai huwezi kulazimisha wengine wamchangie. Mmmm kwani CCM hawawezi kusaidia jamani mbona wako kimya hivi.
 
Sikiliza, maaskofu waliupenda sana utawala wa JPM na ni chaguo la wengi. Waliokuwa wanamchafua ni hawa wanaodai pesa nyingi, na Musiba aliwapinga. Kosa la Musiba ni kupinga na sio kumchafua mtu. Hukumu ni ya kisiasa haiendani na taaluma ya kisheria.
we kweli uhoro, we unajua sheria? Nyau lisilo na haya
 
Hata kama ni goli la mkono, Nia ni kuinyoosha nchi iliyokuwa imepindishwa na mafisadi.
sasa mbona amenyooshwa yeye. Hii nchi si ya mtu moja ongoza kwa nidhamu na kufuata sheria ulizozikuta. Zingatia mila na desturi ulizozikuta hakuna alichokinyoosha zaidi ya kugawa nchi na kufanya ufisadi mkubwa
 
Yesu Kristo alisema nimekuja Duniani kuwaokoa wenye dhambi!
Na hao maaskofu ni wana mwakilisha Yesu Kristo duniani!
Soma Biblia ujue watu wangapi Yesu Kristo aliwa okoa
Na wewe Mwenye Enzi Mungu akusaidie!
 
Laiti ungejuwa usinge post huu ujinga wako hapa. Ungeweza fungia zaidi ya 50milion citizens kwa uchumi wako wakati leo tukawa hivi tulivyo? Mungu akusamehe bure.
Nakama kweli alikosea mbona waliofuwatia wasifunge uchumi kama wao wanaume kweli? Mambo mengine Mnamuonea zama huyu Mzee. Mtanikumbuka sio kwa mabaya ila kwa mema. RIP Magufuli
 
Laiti ungejuwa usinge post huu ujinga wako hapa. Ungeweza fungia zaidi ya 50milion citizens kwa uchumi wako wakati leo tukawa hivi tulivyo? Mungu akusamehe bure.
Jiwe alikuambukiza ujinga. Bado onamsujudia. Nlkumbuka enzi zako ulikuwa mwamba hapa JF. Kamfuate umbusu bladifaken
 
Lakini hapo kwa kupambana na corona hata kama alibaatisha alikuwa sahihi kutofunga nchi.
 
Hivi wewe kijana huna kosa kabisa hapa Duniani?
Kama huna basi una haki ya ku judge watu na nakutakia heri katika maisha!
Ukisoma post yangu na kuoanisha na ulichoandika ni wazi tuna wazee wa hovyo sana na wahuni nchi hii🤣
 
Acha kuweweseka mwambie musiba alipe pesa za membe mwehu wewe hukumu ya kisiasa ipo wapii pale
Ana bilioni 9.9?kawa mpole kama pilitoni cku Hz. Simuoni akimuunga mkono mama na press zake zA kijinga.au haoni mama anachokifanya ampongeze?eti mzalendo.njaa bana.
 
Walichokifanya wao na ulichokifanya wewe hapa, haihitaji elimu hata ya awali kujua wewe ndiye mjinga.

Viongozi wengi wa Africa hawakuwa na muda wa kuwakumbusha watu wao kuna Mungu wakati wa hili janga na anaweza kuwavusha salama, hawa watumishi wa Mungu kazi yao ni kuwakumbusha watu na kuwaelimisha uwepo wa Mungu, wakaona kiongozi wa nchi anafanya kazi kubwa ya kuwakumbusha watu kumtanguliza Mungu kipindi cha Corona hawakuwa na sababu ya msingi kutokumpongeza.

Hata wewe pahali uliko kwa imani yako ukibeba jukumu la kuwakumbusha watu wamkumbuke na kumtanguliza Mungu, viongozi wako kiimani watakupongeza.

Mawazo yao yalitokana na imani, ila mawazo yako yametokana na mihemko iliyochanganyikana na siasa ambayo kiujumla huijui. Unachokiwaza wewe sicho walichokiwaza wao
 
JPM tena? Embu acheni wehu wenu wazee majizimajizi!

Huyu ambaye uchumi wetu uliendelea kuwa imara hata wakati wa janga tofauti na waliojifungia?

Fanya alikosea! Mbona haujakufa na kolona wewe?
 
Hata wakikosea namna gani, lakini kuwstukana ama kuwadhalilisha maaskofu au masheikh ni kujipelekea moto mwenyewe.

Waache watahukumiwa na kuumbuliwa na Mungu.

Wangekuwa hawapelekwi Mahakamani na Kufungwa pale wanapofanya uhalifu kama ubakaji au ulawiti
 
Back
Top Bottom