Nchi hii imepitia madhira makubwa sana. Eti na hawa ni viongozi wa dini

Sikiliza, maaskofu waliupenda sana utawala wa JPM na ni chaguo la wengi. Waliokuwa wanamchafua ni hawa wanaodai pesa nyingi, na Musiba aliwapinga. Kosa la Musiba ni kupinga na sio kumchafua mtu. Hukumu ni ya kisiasa haiendani na taaluma ya kisheria.
Hizi blah blah zenu hazitowasaidia, mnazidi kupoteza muda tu. Anzeni harambee mkomboeni mwenzenu
 
Hata wakikosea namna gani, lakini kuwstukana ama kuwadhalilisha maaskofu au masheikh ni kujipelekea moto mwenyewe.

Waache watahukumiwa na kuumbuliwa na Mungu.
Sio kweli.
Hukumu inaanza hapa hapa duniani
 
Sikiliza, maaskofu waliupenda sana utawala wa JPM na ni chaguo la wengi. Waliokuwa wanamchafua ni hawa wanaodai pesa nyingi, na Musiba aliwapinga. Kosa la Musiba ni kupinga na sio kumchafua mtu. Hukumu ni ya kisiasa haiendani na taaluma ya kisheria.
Kwahiyo hukumu ya mahakama ni batili?
 
JPM tena? Embu acheni wehu wenu wazee majizimajizi!

Huyu ambaye uchumi wetu uliendelea kuwa imara hata wakati wa janga tofauti na waliojifungia?

Fanya alikosea! Mbona haujakufa na kolona wewe?
Alikufa yeye
 
Alitunyima ajira nchi nzima ikawa vilio kila Kona. Nakumbuka Kuna kipindi alitanagaza nafasi za ualimu elfu 13 lakini walioajiriwa hawazidi elfu moja wengine akajazia walioko kwenyea ajira ili kuihadaa jamii kuwa kaajiri. Huyu bwana alikuwa anaongiza nchi kwa fix nyingi sana.

Ajira ndo maisha lakini yeye alikuwa anaona mdaraja ndo maisha. Mungu fundi

Wewe ni mwalimu?
 
Viongozi wa dini wanapo mtaka Membe kusamehe ni sawa sio tatizo.

Lakini dosari ninayoiona ni kutosema lolote, Musiba afanye nini.

Watu watajiuliza wakati Musiba anachafua watu, viongozi wetu wa dini walinyamaa.

Huyo mdaiwa alikashifu wengi tu. Na ilionekana kama ni jambo la kupigiwa mfano.

Mi nadhani kama mdaiwa hakuomba suluhu na mdai wake huko nyuma, basi angalao aende hadharani kuomba radhi kama alivyoenda hadharani kuchafua watu.

Tusitumie viongozi wa dini kusawazisha makosa ilhali mhusika yupo hai na afya tele.
 
Hata wakikosea namna gani, lakini kuwstukana ama kuwadhalilisha maaskofu au masheikh ni kujipelekea moto mwenyewe.

Waache watahukumiwa na kuumbuliwa na Mungu.
Stop that believes, hao ni watu TU kama wewe. Wakifanya mavi wanavikwa mavi! Full stop
 
Na Samia ambapo kwa Sasa ajira zimetapakaa kila Kona. Samia na jk ndo wanajari utu was mtu. Kwa jk ajira zilikuwa kila Kona mpaka jeshi hukutukiwa eti upite jkt kama ilivyoanzishwa na jpm ilimradi tu ukate tamaa.
Elewa swali.!
 
Sikiliza, maaskofu waliupenda sana utawala wa JPM na ni chaguo la wengi. Waliokuwa wanamchafua ni hawa wanaodai pesa nyingi, na Musiba aliwapinga. Kosa la Musiba ni kupinga na sio kumchafua mtu. Hukumu ni ya kisiasa haiendani na taaluma ya kisheria.
kwani taaluma ya kisheria kwa kosa la kuwachafua watu hukumu inakuwaje?usijekuwa unaimba kama kasuku wakati hata sheria yenyewe huijui.
 
Back
Top Bottom