Kwanini Makonda anafuatwa na viongozi wa dini kuombewa sana?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,487
2,351
Hakika Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameweka Rekodi ya kuwa kuwa Kiongozi anayeombewa sana na VIONGOZI wa Dini.

Kwa muda mfupi uliopita Bwana Makonda ameombewa na Viongozi Wafuatao

1. Kardinali Pengo amemwombea mara 2 Dar na Arusha

2. Sheikh Mkuu Dar
3. Askofu wa Anglican Dar

Nimekuwa najiuliza ni DHAMBI GANI ametenda au kuna nini mpaka AOMBEWE HIVYO? AU Ana UTAKATIFU gani mpaka AOMBEWE?

Pia soma

- Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi
 
Utapeli wa kisiasa
 
Bashite boya tu!
Tamaa na ulevi wa madaraka umemjaa!
IQ mdogo anatapatapa!
 
Hakika Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameweka Rekodi ya kuwa kuwa Kiongozi anayeombewa sana na VIONGOZI wa Dini.

Kwa muda mfupi uliopita Bwana Makonda ameombewa na Viongozi Wafuatao

1. Kardinali Pengo amemwombea mara 2 Dar na Arusha

2. Sheikh Mkuu Dar
3. Askofu wa Anglican Dar

Nimekuwa najiuliza ni DHAMBI GANI ametenda au kuna nini mpaka AOMBEWE HIVYO? AU Ana UTAKATIFU gani mpaka AOMBEWE?

Mtu asiye na mahusiano mazuri na viongozi wa dini uwezo wake wa kufanikiwa ni mdogo sana ni.kama haupo kabisa na hata ukieepo wa muda mfupi tu anapotea
 
Hakika Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameweka Rekodi ya kuwa kuwa Kiongozi anayeombewa sana na VIONGOZI wa Dini.

Kwa muda mfupi uliopita Bwana Makonda ameombewa na Viongozi Wafuatao

1. Kardinali Pengo amemwombea mara 2 Dar na Arusha

2. Sheikh Mkuu Dar
3. Askofu wa Anglican Dar

Nimekuwa najiuliza ni DHAMBI GANI ametenda au kuna nini mpaka AOMBEWE HIVYO? AU Ana UTAKATIFU gani mpaka AOMBEWE?

Pia soma

- Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi
Damu za kina Ben saanane zinamuandama
maiti-9.jpg
 
Back
Top Bottom