Nawaza Tu: Ukimpata mpenzi wa hivi

Nawaza Tu: Ukimpata mpenzi wa hivi

NajaZia hii ya sie walevi mwekundu :ikifika saa sita usiku..oooh beb naona utachelewa kdg leo,narudishia geti na mlango ukija usipate shida ya kugonga sana......mingine sasa;bado upo na hao mahawara zako?ulale ukuje asubuh kbs.....

safi sana hujakosea mkuu ana fit pale penye madhaifu
 
Ukitaka wa kukufanyia 1-4 ulizotaja juu tangaza nafasi ya kazi na ujira kabisa. Na uhakikishe unamlipa ujira mzuri and on time, ili motivation yake isikwazike, otherwise atakuchoka haraka mno. We unataka kutumikiwa hivyo kwa sifa gani uliyonayo? Naanza kuamini kuna wanaume bado wako karne ya 17. Honestly sitamani mke wa aina hiyo, maana nitahisi kama nafanyiwa maigizo au nadanganywa. Mimi naridhika na mke wangu kwa sababu ya mutual love, trust na responsibility tunazofanyiana, tena zile zinazokuja kwa hiari na kwa kufurahiwa na pande zote, sio za mashinikizo ya kuambiwa au ya kuhisi kuwa "nisipofanya hivi sijui ataenda kule" nk.

hongera mkuu wewe inaonyesha hadi 2050 utabadili hadi kabila kabisa,tuachie sisi wenye tamaduni na mapenzi ya kiafrika
 
mwanamke wa namna hiyo atakuwa goli kia.Je uko tayari kuwajibika pekee ( majukumu ya ndani kifedha).? mwekundu
 
Last edited by a moderator:
mwanamke wa namna hiyo atakuwa goli kia.Je uko tayari kuwajibika pekee ( majukumu ya ndani kifedha).? mwekundu

huo ni wajibu wetu tena wa kimsingi kwa akina bibi au mama waliishi hivyo tokea enzi kabla ya women empowerment 21 century
 
If a man is worth my time and love, I will do whatever it takes, to the best of my ability to make him happy.

But lets be realistic here. Shall I be enslaved in the name of love? Hell No.

You know where the bathroom is so dude drag your ass there and shower. We have to get going to beat traffic.

Need a massage? Well, so do I?

Remove your socks, I will kick off my heels and throw my ass on the couch for a peaceful moment.

I am a careee woman, you loved my independence among other things but like everything else it comes with a price.

This time round the price is compromise.

umenena dada,,, wakati we unamfanyia hayo wewe anakufanyia nini?
 
kama una mahela hata kwenda kuogeshwa utabebwa mgongoni
 
Mwekundu usiombe hayo yakakutoa maana utasahau kama kuna Mungu aliyeumba na baadaye dhambi ikaingia duniani. Inatupasa kujifunza kukabiliana na changamoto za maisha ili utukufu wa Mungu ujulikane
 
Oa mke akae ndani kama housewife. Atayaweza. Sisi career women tutaonyesha love in our own way, not yours.

Ooooooops....!career woman??sidhani km ushawahu kupendwa km unatanguliza career kwny uhusiano wako km yupo mwanaume wa hivyo jua anakudanganya nyuma ya pazia yupo mwanamke anaempa attention wanaume tumeumbwa hivyo if your mega bussy n' he'z fine with it trust me unaibiwa kuna role za mwanamke na mwanaume kwny uhusiano ukienda tofauti tegemea matatizo
Rule #3 love your hubby/bf like the first day u started dating him,respect your wife/gf n' make her feel secure being wit' u
 
Tuko tofauti sana jaman. Mapenzi ni jinsi nyinyi wawili mlivyosomana na kuelewana.
1.Mim nachagua mwenyewe nguo za kuvaa,so kunyooshewa sio muhimu sana mpk akiniuliza au nikimwambia.
2. Naamka asbh sana kabla yake,nisingependa kumsumbua asubuhi kipenzi kuniandalia maji
3. Nimechoka,napumzika mtu aje anikalie tn mgongoni?! Ni mtazamo tu
 
Back
Top Bottom