Nawaza Tu: Ukimpata mpenzi wa hivi

Nawaza Tu: Ukimpata mpenzi wa hivi

If a man is worth my time and love, I will do whatever it takes, to the best of my ability to make him happy.

But lets be realistic here. Shall I be enslaved in the name of love? Hell No.

You know where the bathroom is so dude drag your ass there and shower. We have to get going to beat traffic.

Need a massage? Well, so do I?

Remove your socks, I will kick off my heels and throw my ass on the couch for a peaceful moment.

I am a careee woman, you loved my independence among other things but like everything else it comes with a price.

This time round the price is compromise.

wewe dada utapata mume kweli!
 
Kumbe mume wangu ana raha sana ndo maana ananidekea sana...mi sioni kama ni utumwa,ni wajibu wangu hata kama mume wangu angekuwa muuza mitumba na mimi waziri.nikifika kwangu,cheo,kiburi,dharau n.k naviacha nje ya geti.

Nikiwa nasafiri naumia kichwa kwasababu nafikiria mume wangu ataishije wakati sipo so naacha nimeandaa kila kitu atakachotumia kwa wakati ambao sipo.sitaki apate shida wakati mimi ni msaidizi niliyeumbwa kwa ajili yake

Kwanza ukimfanyia hizo mambo mumeo huna hata haja ya kuomba akufanyie massage na wewe...ye mwenyewe atakwambia "haya sahv zamu yako,najua unachoka mke wangu" yani huwa nasisimka mpaka utumbo

Asante mama yangu kwa mafunzo uliyonipa juu ya kumlea mume

Mdogo wako wakike keshaolewa?
 
Ubongo wako kivipi yaani kwa machiene ya ATM?

pesa no mie natengeneza zangu pia, na mume ananijua kwa hilo. yaani asiwe kama wale wapoleeeee, mabwege kama kila kitu yes yes hadi inaboa, na kujieleza kila kitu kama vile yuko mahakamani, n.k
 
UKIMPATA MPENZI KAMA HUYU UTAWAZA KUMSALITI KWELI BOY.

1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini khaa, nguo zishapigwa pasi

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha sana!

4. Umejipunzisha kwenye kochi au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji, unaishia kusema "thanks baby".

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.

6. Anapenda ndugu zako.

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)

8. Anajua unataka nini na kwa wakati gani. Full kuenjoy kidume.

He heee heee, ila wanaume hatuna dogo, unaweza fanyiwa yote hayo na kesho uka malizia, ingawa siyo kila mwanaume anaweza fanya hivyo.

kuna ambaye nljitoa kumpa raha zote hzi kwan nlmpenda kulko chochote ila akaichezea bahati alisahau kuwa mchelea mwana kulia hulia mwenyewe.
 
kuna ambaye nljitoa kumpa raha zote hzi kwan nlmpenda kulko chochote ila akaichezea bahati alisahau kuwa mchelea mwana kulia hulia mwenyewe.

usihofu utampata anae deserve ,he didint deserve it
 
Back
Top Bottom