Ukimpata mpenzi kama huyu utaishi maisha ya raha sana aisee

poppah

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
630
547
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini unakuta, nguo zishapigwa pasi

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha xanaaa!

4. Umejipunzisha kwenye kochi au Au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji Mgongoni, unaishia kusema "thanks baby".

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.

6. Anapenda ndugu zako.

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)

8. Anajua unataka nn na kwa wakati gani.

9. Hana tabia ya uchoyo na umbea

10. Anakukumbusha usome Neno la Mungu
 
Bila shaka huyo mwanamke anakaa tu nyumbani hafanyi kazi sio?......waTz noma sana wanataka kuvuliwa hadi soksi......mkuu wakukufanyia hivyo labda mwanamke anayejihisi duni sana anadhani kumfanyia hayo yote mwanaume ndio upendo...hapo hamna kitu hizo ni tamanuni tu.... lengo lake ni kufanya mwanaume aonekane breadwinner, mwanamke asijaribu chochote yeye kazi take kumfurahisha mume tu.

Mkuu wewe ukipata mwanamke strong hafuati hizo tamaduni za miaka ya 47 utapata shida na utamkimbia ukisingizia hueshimiwi.
 
mwambie mkuu bill tushee wote na kukuogesha nikuoheshe kweli?
 
Yaan mm sifa hyo ya 1 ndo sina nachofanya akirud job namuandalia maji ya kuoga ila kuamka asubuh nmeshndwa
 
Wa hivyo labda wako huko Dar..!
Ila huku kwetu Nyashimbi wao wakiamka asubuhi saa 4 na kuomba ela ya kusuka..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom