Nawaza Tu: Ukimpata mpenzi wa hivi

Nawaza Tu: Ukimpata mpenzi wa hivi

NajaZia hii ya sie walevi mwekundu :ikifika saa sita usiku..oooh beb naona utachelewa kdg leo,narudishia geti na mlango ukija usipate shida ya kugonga sana......mingine sasa;bado upo na hao mahawara zako?ulale ukuje asubuh kbs.....
 
Last edited by a moderator:
Halafu baada ya mwaka unapata ushahidi tosha usio na shaka yoyote kuwa kuna kasharobaro kanakoishi mtaa wa tatu kamekuwa kakiihudumia kwa umaridadi uliokubuhu kabisa papuchi adhimu tena unayoheshimu ya mkeo kipenzi unayemhusudu kuliko kiumbe chochote hapa duniani...... Hahahaha bunduki zingekuwa makalio kwamba kila mtu anayo basi hakuna ambaye angebaki hapa duniani.. Nami pia NAWAZA TU!

Mkuu tukifikiria hivyo always hatutaoa
 
Mzee Es,
wangu hapa umetupa madongo kishenzi lakini utanisamehe kusema kwamba June Warioba kabuntas?... Noo bro, June darasani kichwa kile kimetulia na kasoma bila kulipiwa toka huko alikoanza. Sema ukitoka darasani hapo tena habari nyingine!..

He heee jamani tupooo hata zaidi ya hapo ila it's true wanaume hamtabiriki ni wachache wanaheshim
 
Ame too bad ushaoa ,mana dahh,i dream of that

Pole kipenzi nimeoa mwaka wa 19 sasa 14 ya ndoa rasmi na 5 ya ndoa isiyo rasmi.....

Wait, Ame is a gospel preacher; sasa nikusaidie?! Mwambie Mungu akupe wa jinsi hiyo na ww weka agano naye kama yule mfanyakazi wa Ibrahim.... Alisema mwanamke atakayeni chotea maji na kunywesha punda wangu ndiyo atakuwa mke wa Isaka mtoto wa bwana wangu. Sasa for ur andika quality zote unazozihitaji then tell God bring that man to me, hata kama hayupo God can create one for you lakini ukubali tu atakuja katika package yenye sura isiyopendeza. Most of the times hizo condition zinakuwa very temporal yaani screen saver tu ila mle ndani content ni kama ulivyozi omba!
 
Last edited by a moderator:
matendo mengine mwanaume ukifanyiwa yakizidi sana unakuwa mzembemzembe mwishowe unanenepa na kuwa na tumbokubwa unashindwa hata kupanda mlima kilimanjaro. anaweza akakuletea chakula wakati umeshashiba, na kwakuwaanatabia ya kukuwahi, akakuimbia ili ule mpaka tumbo likujae, uanze kutoka majasho hapa kisa mapenzi . i think kila jambo lina kiasi, hawa ni wanawake na binadamu sio watumwa(slave)
personaly sipendi wanawake wa hivyo kwangu sitakuwa na furaha kabisa. nasisitiza kiasi.
 
Back
Top Bottom